Mimi ni zero brain, sina ninachokijua lakini najaribu kuwaza, Rais ni tasisi kwa ufaham wangu
Haya maswali siku nikipata majibu nitakula nyama kilo Moja
1. Aliyeshauri Dr Nchimbi awe makamu wa rais hakujua msimamo wake na uwezo wake?
2. Aliyeshauri Tundu lissu akamatwe na kufunguliwa uhaini...