Mimi ni zero brain, sina ninachokijua lakini najaribu kuwaza, Rais ni tasisi kwa ufaham wangu
Haya maswali siku nikipata majibu nitakula nyama kilo Moja
1. Aliyeshauri Dr Nchimbi awe makamu wa rais hakujua msimamo wake na uwezo wake?
2. Aliyeshauri Tundu lissu akamatwe na kufunguliwa uhaini kwa nini msingemfungulia kesi ya uchochezi? Hamuoni kama mnampa umaalufu kupitiliza?
Je, body language akiwa mahakamani hamuioni ,mnaona dalili ya yeye kukata tamaa?
3. Ikiwa Hawa majaji wanapew maelekezo (sina uhakika) Taaluma ya Sheria mnaiweka wapi hasa waliopo vyuoni?
4. Je Hawa watu ikitokea wanaunda chama Chao au wanahama chama mtatoboa
Je Maslahi ya taifa yanalindwa na nani?
5. Kwa Nini viongozi wazuri na wenye sifa wamegeuka kuwa miba katika awamu ya sita?
CdF -nakuamini sana
IGP-Nakuamini sana.
Kifupi sina Mashaka na nyie ila, Boss wa tiss (huyu cmjui)
Nyie watu watatu, Kwa ninachokijua mnapitia wakati mgumu sana kilutekeleza majukumu yenu
Naamani Taaluma na siasa ni vitu viwili tofauti ,mwanasiasa yeye anachoangalia ni win situation
Je mwanasiasa ni kama mtoto? Mtoto wa kula anaka ale haijarishi una pesa au Hauna
Kwa umoja wetu naomba tusali kwa pamoja bila kujali itikadi za dini zetu na natusali sana bila kuchoka ukiwa njian ,kweny gari omba kwa ajili ya nchi yetu
Amina
Natumia sana sjui wasomi wanaojua mambo wanaumia kiasi gani ?

- Majaliwa kassim majaliwa
- Dotto biteko
- Dr Emmanuel Nchimbi
- Anjelina Mabula
- Luhaga Mpina