Tanzania ! Tanzania ! Tanzania !
Habari za leo vijana wasomi.
Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada.
1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA SECURITY FUND". Hii ikawa maalumu sana kwa vijana wa taifa letu umri kuanzia miaka 18 mpaka 44. Huu uwe...
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
Hii Africa Energy Future Summit inatuonyesha umakini wa viongozi wetu. Mmojawapo ni Mheshimiwa Dr Dotto Biteko (PhD) huyu kiongozi ni hazina ya mbeleni. Ana utulivu wa kiuongozi na elimu pia ipo
Asante.
https://www.youtube.com/watch?v=o6bgARGZYwg
Dr Mwigulu atakua kwenye PANEL, tusikilize...
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha.
Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake.
Kwa makusudi,
mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani.
N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
Luteni Jenerali wa ngazi ya juu Igor Kirillov ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Nyuklia, Biolojia, Kemikali (NBC) katika Jeshi la Urusi na Msaidizi wake wameuawa katika mlipuko uliotokea mjini Moscow.
Jenerali huyo alikuwa akiondoka kwenye makazi mapema Jumanne wakati kifaa kilichofichwa...
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga.
Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo.
Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu...
Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU.
Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM.
Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura
Serikali...
Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
azindua tume
ghorofa kariakoo
halmashauri
kariakoo
kuachia ngazi
kuchunguza
majaliwa
manispaa
miaka
miaka 10
mkuu
ngazi
tume
wajumbe
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu majaliwa
Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo.
Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya muhimbili
idara
jamii
muhimbili
ngazi
serikali
ustawi
ustawi wa jamii
utendaji
uwajibikaji
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha.
Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.