ngo

  1. Bigmaaan

    Ninaomba msaada wa Template ya katibo ya NGO toleo la kiingereza

    Kwema wakuu? Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie. Asanteni.
  2. Marie Antoinette

    Leta yacu yaratubeshye, igemura abasirikare bacu ngo bicwe

    Julius Malema uri mu bagize Inteko Ishinga Amategeko muri Afurika y’Epfo, yemeye ko guverinoma y’iki gihugu yababeshye ubwo hafatwaga icyemezo cyo kohereza Ingabo muri Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo. Malema uri mu banyapolitike bakomeye muri Afurika y’Epfo ni umwe mu bitabiriye...
  3. Cannabis

    Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  4. Marie Antoinette

    Umunyamabanga wa African Union ngo ahangayikishijwe n’ibibera muri Congo!

    Perezida wa Komisiyo y'Umuryango wa Afurika Yunze Ubumwe, African Union Moussa Faki Mahamat, yatangaje ko ahangayikishijwe n'umutekano mucye uri mu burasiraazuba bwa Congo. Asaba impande zombi kuyoboka inzira y'ibiganiro bya Luanda, biyobowe na João Lourenço. Kandi ubu arakeka ko twibagiwe ko...
  5. T

    MINALOC ivuga ko imiryango ibana mu buryo butemewe yugarijwe n’ amakimbirane yo mu ngo

    Minisitiri w’Ubutegetsi bw’Igihugu avuga ko hagiye kongerwa ubukangurambaga ku mikorere y’inshuti z’umuryango n’umugoroba w’ababyeyi kuko hari ibibazo byinshi bibangamiye imiryango byakemurwa n’izi nzego bitabaye ngombwa kujya mu nkiko. Avuga kandi ko umuryango ufite ibibazo bitandukanye birimo...
  6. N

    Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake?

    Habari JF, Naomba kujua endapo mtumishi wa umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake.
  7. F

    Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya

    Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse Jinsia: Male Email: avicboston@gmail.com PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
  8. Boeing787-8

    Reputable NGO kutokutoa interview feedback kwa candidate

    Za asubuhi wakuu, Kuna NGO nyingine unaweza kudhania kuwa ziko serious kumbe sivyo. Niliomba kazi kwa shirika moja lenye makao yake Australia. Wakanichagua kwenye shortlist, baada ya wiki moja nikafanya mahojiano ya kwanza, halafu baada ya wiki nyingine nikaitwa kwa mahojiano ya pili, na baada...
  9. L

    LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  10. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Habari wakuu, Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika. Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka...
  11. U

    Byagenze gute ngo Perezida mushya wa Senegal akunde uwari umunyeshuri we!

    YANDITSWE NA DENIS NSENGIYUMVA Yahanganye n’amarangamutima ye, ariko nyuma y’igihe, akuruwe n’ubwenge, indero n’ubuhanga bya Absa, Bassirou Diomaye Faye byarangiye akunze umunyeshuri we. Absa Faye ni umugore wa kabiri wa Perezida mushya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye watsinze amatora ya...
  12. U

    Nkumi nziza, niba ufite imwe muri izi ngeso ntuzubuka ngo rukomere pe||isubireho

    Ingo nyinshi zo muri iyi minsi zisigaye zihama ari hamana ku buryo hari n’abasezerana kubana bagatandukana batarabyarana umwana n’imwe. Akenshi ibi biterwa no kudahuza kwa hato na hato kw’abashakanye bitewe n’ingeso zitandukanye zihariye kuri buri umwe. Muri aka kanya tugiye kugaruka ku ngeso...
  13. T

    Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  14. sonofobia

    Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

    Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western. Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni...
  15. Start-Menu

    Ngo ngo ngo, hodi wenyeji

    Nimeingia kwenye mji huu wa kidijitali ila kabla hata siku haijaisha nimeona ni uungwana kuwasalimu kwanza wenyeji. Nimekuwa ni msomaji wa muda mrefu wa jamiiforums katika majukwaa kadhaa ila nimeamua rasmi niingie kwenye ngoma nipate uhondo zaidi kuliko kuwa mtazamaji / msomaji. Mnipe baraka...
  16. Z

    CCM ina udhaifu wa kupata viongozi wakuu wa nchi, Sasa nchi imeuzwa!

    Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz. Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa...
  17. comte

    CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  18. Exformer

    Natafuta nafasi ya kujitolea katika taasisi binafsi, NGO au sehemu yoyote

    Habari zenu wanajamii, Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina miaka 25, mhitimu wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU). Nimesomea shahada ya sanaa katika Uchumi wa Maendeleo ya jamii (Bachelor of Arts in Community Economic Development) Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi wa kutumia Computer hasa...
  19. Boss la DP World

    Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo. Chanzo...
  20. N

    Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini

    Mwanasiasa aliyewai kuwa Waziri kwenye Wizara tofauti, ikiwemo Wizara ya Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe ameitwa na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) kueleza kwa kina kile alichoeleza mbele ya Umma kuhusu madai ya baadhi ya mashirika (NGOs) kuhusika kueneza...
Back
Top Bottom