ngolo kante

  1. mdukuzi

    Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
  2. Inside10

    Kante Amtafute Hakimi, Emmanuel Eboue awe Case Study

    KANTE AMTAFUTE HAKIMI. EMMANUEL EBOUE AWE CASE STUDY. Ngolo Kante, nyota wa zamani wa Chelsea na mshindi wa kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa amemuoa mwana mama raia wa Uingereza anayeitwa Jude Littler (pichani). Jude ni mfabiashara na mtangazaji wa television ya ITV Wales and...
Back
Top Bottom