Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa.
Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...