Kwa sasa inaonekana Harusi zinazofungwa makanisani siku Moja kabla ya Ndoa, Kunakuwa na matukio ya ngono za kuagana zinazofanywa na Bibi Harusi na Ma-Ex wao. Hii Ina maana Harusi zinazofungwa leo Kanisani tarehe 01 August 2026 Asilimia 90% ya Bibi Harusi watarajiwa wiki Moja au siku Moja kabla...
Wanawake siku hizi mna mambo sana aisee hata aibu hamna? Kiukweli huyu mchumba wangu ameniacha kinywa wazi aisee yaani ananiomba ngono kabla ya Mimi kumuomba wakati nilitegemea mimi mwanaume ndiye nimuombe ngono ila cha ajabu yeye ndiye ameniomba tufanye ngono
Yaani mwanamke ameniambia kama...
Hivi vitabu vya Mungu tunavidharau bure kusema usioe mwanamke ambaye sio bikra utakuwa umefanya big mistake kubwa.
Wengi wetu tunachukulia maneno haya ni uongo na pia Hayana maana yeyote kwetu. Ukitaka kujua maneno Haya yana nguvu oa mwanamke ambaye EX wake alikuwa na uwezo zaidi yako
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.