ngozi

Chimamanda Ngozi Adichie ( (listen); born 15 September 1977) is a Nigerian writer whose works range from novels to short stories to nonfiction. She was described in The Times Literary Supplement as "the most prominent" of a "procession of critically acclaimed young anglophone authors [who] is succeeding in attracting a new generation of readers to African literature".Adichie has written the novels Purple Hibiscus (2003), Half of a Yellow Sun (2006), and Americanah (2013), the short story collection The Thing Around Your Neck (2009), and the book-length essay We Should All Be Feminists (2014). Her most recent book, Dear Ijeawele, or A Feminist Manifesto in Fifteen Suggestions, was published in March 2017. In 2008, she was awarded a MacArthur Genius Grant.

View More On Wikipedia.org
  1. GRACE PRODUCTS

    Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  2. Braza Kede

    Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  3. GRACE PRODUCTS

    Faida 6 za Ajabu za Asali kwa Ngozi Yako

    Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, lakini je, unajua kuwa ina faida za ajabu kwa ngozi yako? Kutoka kwa unyevu hadi sifa za kupambana na chunusi, asali ni kiungo ambacho kinaweza kujumuishwa katika utaratibu wako wa kutunza ngozi. 1. Moisturizer ya...
  4. GRACE PRODUCTS

    Dondoo 11 za Utunzaji wa Ngozi za Watoto na Umuhimu wa Mafuta ya Watoto ya Grace My Baby Gardener

    Kama mzazi, moja ya wajibu wako mkubwa ni kuhakikisha afya na ustawi wa mtoto wako. Ngozi ya watoto ni nyororo na nyeti, ikihitaji utunzaji wa kipekee ili kuepusha matatizo ya ngozi kama vile muwasho, ukavu, na mapele. Kupitia makala hii, tunawaletea dondoo 11 muhimu za utunzaji wa ngozi za...
  5. GRACE PRODUCTS

    Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  6. GRACE PRODUCTS

    Jinsi ya Kuzuia na Kutibu Ngozi Kavu: Vidokezo Muhimu kwa Ngozi Yenye Afya

    Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ngozi husaidia kuulinda mwili, kutoa taka mwili, kuratibu joto, maji na chumvi, pamoja na kuhisi vichocheo kama vile joto, baridi, miguso na mkandamizo. Ngozi nzuri inaathiri pia mwonekano na uzuri wa mwili. Hata hivyo, ngozi kavu ni tatizo...
  7. P

    Nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee

    Habari zenu wana JF Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi. Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba...
  8. Apostle Ezekiel

    Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    Ndugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
  9. GRACE PRODUCTS

    Vyakula vya Asili Vinavyoweza Kusaidia Ngozi Yako Kuwa na Afya na Kuependeza

    Je, unajua kwamba vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia moja kwa moja katika muonekano wa ngozi zetu? Vyakula vya asili vina virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kupambana na magonjwa na pia kuimarisha afya ya ngozi. Sehemu kubwa ya miili yetu ni ngozi, ambayo ina jukumu kubwa la kuukinga na...
  10. Marcy

    Je, wajua hili kuhusu mwonekano wa ngozi na sura yako

    Kula vizuri hasa mbogamboga na matunda ,kunywa maji ya kutosha ,lala inavyotakiwa , kama una hofu au mawazo jitahidi kuviepuka ukizingatia hivi huondoa ngozi kusinyaaa na kuifanya iwe na nuru Ila kinyume na hayo utakuwa na mwonekano wa ajuza mwenye miaka 90
  11. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu: Kama Mnaogopa Mabomu, Mkalale Mshughulikiwe na CCM. Ukiogopa Mabomu Kalale Uchunwe Ngozi na CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchauzi huu wa Serikali za Mitaa na kuwataka kutokuwa waoga wa mabomu. Lissu ameyasema hayo wakati akisalimiana na wananchi wa Kata ya...
  12. D

    Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

    Siyo kwa nia mbaya ! Katika kuboresha na hamasa kwa walemavu hufanyika matamasha mbalimbali kila mwaka! Viongozi na watu mashuhuli wamekuwa ni mchango mkubwa kufikisha ujumbe kwa jamii! Haji manara huwa hataki kabisa kushirikishwa kwenye jambo ili awe msemaji wa walemavu wanao omba msaada...
  13. B

    Hospital gan ya Ngozi nzur Kwa ZNZ

    Wakuu Habar Zenu, naombeni ushauri kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Dogo ugonjwa wa Ngozi unamsumbua. Ahsante!!
  14. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Habari! Mimi nina design mikanda ya ngozi na nimekua nikitafuta sana Buckles (bakoz) za kufungia mikanda ambazo ni nzuri , imara, na high quality lakini sijapata hapa Tanzania! Nimepata sehemu ipo Kenya tu. Nina uhakika lazima kuna sehemu au kiwanda hapa hapa Tanzania wanaoweza kunitengenea...
  15. The Eric

    Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

    Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles..... Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin. Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking...
  16. USSR

    Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  17. Damaso

    Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

    Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi. Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
  18. Yoda

    Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

    Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu. Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu...
  19. Damaso

    Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
  20. T

    Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

    Wakuu kwema. Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi kwa daktari specialist wa ngozi lakini dawa aliyonipatia ni kama niliyokuwa napewa na wengine...
Back
Top Bottom