ngozi

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

    Kama mnavojua msichana akijifungua, mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia. Hasa weupe sana ndio huadhirika zaidi. Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo, isiwe mkorogo.
  2. S

    Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Habari Wana JF Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi? ============ Ngozi ya mwanadamu inahitaji matunzo ili iweze kuwa na afya na mvuto wake wa asili. Ngozi isipotunzwa vizuri huweza kupata...
  3. Deejay nasmile

    Wachuna Ngozi

    Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo moja tu la kufanya kama kuomba dua au kuandika wosia. Jamaa wa kwanza akasema ye aomba auliwe...
Back
Top Bottom