Umewahi kujiulixa hili
Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu
Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike
Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze nguvu za ....kama una shida hioo kimbilia fasta MBELE ukaombeweee
Badoo nawaza
Hivi ilikuwaje...
Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imafanikiwa kutoa huduma ya kuwawekea vipandikizi maalumu kwenye uume (Penile Implantation) kwa wanaume watano ambao walikuwa na changamoto za upungufu wa nguvu za kiume.
Hayo yamebainishwa leo Jumanne Machi 04, 2025 Jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa...
Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume.
Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
Za jioni,
Well kuna kamsemo kanasema kuwa starehe ya masikini ni ngono. Well napingana na hiyo kauli kwa 100% mimi naamini kuwa wanaume wengi duniani kama sio wote tunapenda SEX kuliko chochote kile. Hivyo huo msemo ilibidi uwe "starehe ya wanaume ni ngono"
Ndio maana
1. wanaume tunanunua...
Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.
Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi.
Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa.
Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
Kuna wakati kulikuwa na kelele nyingi sana na matangazo kila kona kuhusu tatizo la nguvu za kiume na tiba mbalimbali za kuongeza nguvu za kiume.
Sasa hivi ni kama harakati za kutafuta nguvu za kiume zimefifia sana, hazisikiki kelele nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari au mitandao kuhusu...
Habari, nimeona nireje MAELEZO niliyowahi kuyatoa kwenye Moja ya Uzi niliyowahi kuchangia bàada yakupata PM na calls kutokana kwa wanaJF wengi wakihitaji ufafanuzi na msaada wakimatibabu juu ya hili na wengi wamepata ufumbuzi wa elimu na tiba juu ya hili. Nimerejea ili tujadili kwa pamoja kwa...
May all souls find enlightenment,
Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF?
Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha.
Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya...
Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona aibu kwa mtubwangu
Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten.
What about u mwanamke? Wewe...
Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume.
Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
Idadi ya watu kuongezeka inapelekea kukutana na kashikashi zitokanazo na Joto la Dar kwa sababu linapunguza NGUVU za KIUME kwa maana ya kukosesha hamu ya kufanya mapenzi na hivyo kupelekea tendo la ndoa kuwa lenye kukosa Radha na hivyo kutishia uwajibikaji wa kufanya Hilo tendo lenye malengo...
Nimepita mahali nikakutana na jopo likiwa na gari yao likiuza na kutangaza faida za mmea wa mwani ikiwa ni pamoja na kutatua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.
Tuwe serious kutoa msaada.
Ufafanuzi wa jumla wa tatizo la nguvu za kiume na tiba yake
Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.