nguvu za kiume

  1. Trainee

    Yanayomaliza na yanayoongeza nguvu za kiume

    Mada pendwa kwa wanaume! Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi ya magonjwa, kazi, mazoezi, tabia, vyakula na vinywaji Kula chips- weka za kushiba na kila kitu...
  2. Joseph midimu

    Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

    Nahitaji wataalamu anaweza kunisaidia jinsi ya kutibu nguvu za kiume zijirudi kama awali anisaidie maana nimekuwa natumia mkongo mwanzo mwisho.au pia niendelea kutumia? Soma Pia: Mazoezi ya Kegel husaidia kutibu changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume
  3. haszu

    Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  4. T

    KWELI Mazoezi ya Kegel husaidia kutibu changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume

    Kuna taarifa mitandaoni zimekuwa zikisambaa na kutanabaisha kuwa mazoezi ya "kegels" yanaweza kuongeza au kutibu shida ya nguvu za kiume kwa ufanisi, Je ni kweli?
  5. M

    Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

    Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10. Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni...
  6. Hance Mtanashati

    Vijana wapo hatarini zaidi kupoteza nguvu za kiume, matumizi ya ndimu ya unga yamekithiri mno

    Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana. Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio ndimu wanayoitumia. Ndimu ya unga ni kisababishi kikuu cha kulegeza uume , hivyo kwa hii hali...
  7. Technophilic Pool

    Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

    Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi. Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue. Isipokua kwa wale second class men
  8. S

    Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

    Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je? Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.
  9. Etugrul Bey

    Wanaume kuleni parachichi, ndizi mbivu, korosho, tangawizi na vitunguu swaumu. Mtakuja kunishukuru

    Wakati mwingine wake zenu wanaondoka majumbani kwenu bila kuaga,hawasikii mnapo waambia na hawa watii kwasababu kuna majukumu muhimu sana hamyatimizi ipasavyo. Huko walikotoka wanaume wenzetu ambao ndio baba wakwe zetu,walitimiza majukumu yao,kwa maana malezi ya hawa warembo,walipata makazi na...
  10. Natafuta Ajira

    Upungufu wa nguvu za kiume ni stereotype

    Mwenye jukumu la kuwajibika ni mwanamke mwenyewe, utayari wa kimwili na kiakili wa mwanamke mwenyewe ndio utamuwezesha kuridhika na tendo. Mwanamke hana hisia na anaefanya nae sex (kajiegesha tu kwenye hayo mahusiano sababu ya njaa au tamaa zake), mwanamke ana maex sio chini ya watano (wakati...
  11. Teslarati

    Hivi kwanini upungufu wa nguvu za kiume ndio unaongelewa na unaonekana ni janga wakati upungufu wa nguvu kike ndio tatizo kubwa zaidi

    Hii sio sawa. Wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kike, wengi K zao hazina afya tena kama inavyobidi kuwa. Zamani mwanamke ukimshika kiuno tu au upaja huyo anaanza kuona aibu na anabana miguu maana kule chini panakua tyr pako na chemchem, anaogopa isionekane. Jamii imekalia kumnanga...
  12. GENTAMYCINE

    Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  13. Mturutumbi255

    Spinachi na Nguvu za Kiume: Ukweli na Dhana Potofu

    Nguvu za Kiume ni Nini? Nguvu za kiume, au uwezo wa mwanaume kudumisha na kufanikisha tendo la ndoa kwa ufanisi, inajumuisha mambo kadhaa kama vile hamu ya ngono (libido), uwezo wa kusimamisha uume, na utendaji wa jumla wa tendo la ndoa. Hali hii inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na afya...
  14. OMOYOGWANE

    Siku hizi wanaouza dawa za nguvu za kiume Facebook na X ni madaktari. Maisha yanaenda kasi sana

    Habari wakuu, Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo. Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu. Kilichonishangaza zaidi...
  15. E

    Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

    Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume. Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10 na walikuwa wanamkamia hasa, mtu kama huyu utamridhisha kweli ndani ya ndoa? Mtu kalala...
  16. Candela

    Ukweli kuhusu nguvu za kiume

    Ukweli ni kuwa hakuna kijana aliyeathirika na nguvu za kiume Kuna mambo kadhaa hufanya mtu aonekane hana uwezo wa tendo ipasavyo. 1: Hili suala linategemea sana ushirikiano wa wote wawili, wanawake wengi huacha mwanaume ndio afanye kila kitu, kumuandaa mwanamke na anapoona tayari basi achome...
  17. Tuo Tuo

    Jinsi ya kutibu tatizo la nguvu za kiume

    Kuna tiba kadhaa za asili zinazoweza kusaidia kuboresha tatizo la uume, lakini ni muhimu kushauriana na mtoa huduma ya afya kabla ya kujaribu matibabu yoyote mapya. Baadhi ya tiba zinazowezekana za nyumbani ni pamoja na: 1. Kula lishe bora yenye matunda, mboga mboga, nafaka nzima na protini...
  18. Mstoiki

    Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

    Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki 😂. Leo tumalize utata, weka picha hapa ya mmea au chakula chochote kinachoongeza nguvu za kiume. Ukiweza tuelezee na Matumizi.
  19. Dr. Zaganza

    Umeathirika na Punyeto? Fanya hivi utapona

    ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii, tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo, tafuta unga wa mvunje haltiti. Tafuta mafuta ya zaituni, tafuta kitunguu saumu Maandalizi Chukua zaituni mils 20 Chukua kitunguu thaumu kisage upate mafuta yake mils 10...
  20. U

    SoC04 Nguvu za kiume, michezo ya kubashiri na sekta ya habari na mawasiliano

    TANZANIA tuitakayo ni Ile iliyokamilika katika nyanja zote iwe Bora katika afya ya kijamii Ili iweze kufanya shughuli za kimaendeleo. Ninapenda kuunganisha maneno haya maudhui haya mawili yaliyoshamiri katika jamii kwa Sasa na wizara ya habari na mawasiliano kwa ujumla kwa uhusiano niliouona...
Back
Top Bottom