Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA
Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
Uvutaji wa shisha umekuwa kawaida nchini siku za karibuni na kukua kiasi kwamba wengine wameamua kuwa na shisha majumbani mwao. Pia siku hizi kuna sigara za kielektroniki, inatumia battery na inaunguza kimiminika kinachojumuisha nikotin, flavours na uraibu mwingine kuwa moshi ili mtu kuweza...
Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa kuridhisha wakati wa kujamiiana.
Mara nyingi nguvu za kiume zinahusiana na matatizo ya mishipa ya damu, mfumo wa neva, hali ya kisaikolojia, na matatizo ya vichocheo...
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.
Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Huduma ya upandikizaji uume iliyotangazwa hivi karibuni na Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma ilizua mjadala, huku wengi wakipiga simu kuulizia huduma hiyo.
Hospitali hiyo ilifanya upasuaji huo wa kwanza kwa kushirikiana na chama cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Mfumo wa Mkojo nchini...
Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI), inatarajia kuanza kutoa huduma ya kuzibua mishipa ya uume ikiwa ni hatua ya kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wenye tatizo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa JKCI Dk. Peter Kisenge...
"Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi.
Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake.
Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume.
Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya...
Mdada ametuma text ananiuliza nipo wapi, nikamwambia nimetoka kazini mchana leo naelekea home. Akaniambia ana hamu na hii hali ya hewa tukanyanduane.
Nikamwambia basi akachukue room nimfuate. Anang'aka kuwa "Nitaendaje mimi kuchukua room? Nenda kachukue uniite nije kukupa nyapu."
Nikamwambia...
Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya..
Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress
Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka.
Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!!
Muda mwingi niliutumia kujifunza...
Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga.
Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado...
Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.