nguvu za kiume

  1. C

    Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Habari wakuu, Leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume. Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu...
  2. Bridger

    KWELI Uvutaji wa sigara huongeza nafasi ya kupatwa na Changamoto ya Upungufu wa Nguvu za Kiume

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalokabili wanaume wengi duniani. Kwa mujibu wa tafiti, tatizo hili linazidi kuwa kubwa miaka ya hivi karibuni tofauti na zamani. Katika kutafuta visababishi vyake, Mdau mmoja wa JamiiForums aliweka chapisho lake lenye utafiti unaotaja sigara kuwa...
  3. Dalton elijah

    Sigara hupunguza nguvu za kiume

    SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile Dysfunction) kwani sigara huzuia mzunguko wa damu kote mwilini, ikiwemo na sehemu za siri ... Sources ...
  4. Komeo Lachuma

    Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

    Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko. Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  6. BARD AI

    KWELI Nyama na supu ya Pweza inasaidia kuongeza nguvu za kiume

    Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi. Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
  7. P

    SI KWELI Tohara husababisha upungufu wa nguvu za kiume na kuongeza hatari ya maambukizi ya VVU/UKIMWI

    Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara. Ukweli upoje?
  8. Killing machine

    Je, kuna uhusiano kati ya tohara na upungufu wa nguvu za kiume na hatari ya maambukizi ya VVU?

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya: 1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
  9. Digimarktz

    Faida 5 za juice ya mkongo

    Habari Wadau, Karibun Mpate Juice Ya Kikongo (Asilipowerplus) Mahususi Kwa Ajili Ya Kutibu Matatizo Yote Ya Nguvu Za Kiume Juice Hii Inafaida Nyingi Kama Vile 1. Kukuwezesha Kusimamisha Mashine Kwa Muda Mrefu yaani masaa mawili bila kulegea. 2. Inakupa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Kukufanya...
  10. crankshaft

    Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

    Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili. Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
  11. Surya

    Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

    Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize unahisia na mimi kweli tusije kwenda kusumbuana tu, au hisia zako zipo kwenye pesa yangu tu? Iko hivi...
  12. M

    Mara mseme hatuna nguvu za kiume, mara tuache kuzaa sana - tushike lipi sasa?

    Kuzaliwa mwanaume kweli mateso. Yaani wanatafuta sababu ili watutukane mara hatuna nguvu za kiume, ooohh tunatumia pweza mara vumbi la kongo. Tunaomba mtueleze ina maana mkitundikwa mimba nalo ni kosa? Huu ni unyanyasaji mnajua kazi ya maziwa mgando, karanga mbichi, sato, sangara, na ugali wa...
  13. M

    Vyakula sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo ni kudharau mitishamba inayosafisha mfumo wa mwili

    Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi. Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa. Leo hii nashangaa kawama inakuwa mara vyakula. Sasa kama vyakula vimeharibu mwili kwa nini usitumie miti shamba kurekebisha mwili?
  14. M

    Rais Samia anawacheka vijana; Supu ya Pweza ni sababu ya ugumu wa maisha

    Tatizo la nguvu za kiume na mwili kwa Dar es Salaam chanzo chake ni stress na lishe duni. Vijana wengi wanakula mlo mmoja. Si ajabu kwa kukuta watoto wa kiume wana vidonda vya tumbo pale Dar. Maana yake mlo hafifu. Sasa mama badala ya kuwasaidia vijana kwa kuboresha hali zao ili waweze kujikimu...
  15. Buenos Aires

    Gym inamaliza nguvu za kiume?

    Habari wakuu? Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana. Weekend njema bandugu!
  16. Allen Kilewella

    Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  17. maishakujipanga

    Matatizo ya nguvu za kiume yaliyofichika miaka 2000 iliyopita. Siri iliyogunduliwa na wanasayansi wa Misri

    Kila siku mfalme wa China Kang Xi Alitakiwa kulala na wanawake 9 kutoka katika Harem yake. Alitakiwa kumridhisha kila mmoja.. Hizi ni njia alizotumia …. Ugunduzi huu unaonesha Dawa na njia walizotumia kuongeza hamu ya tendo la ndoa Kusimamisha kwa muda mrefu sana ( wanawake 9 usiku mmoja)...
  18. Frumence M Kyauke

    Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

    Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi. Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake...
  19. BARD AI

    UTAFITI: Kutolia kunadhoofisha Nguvu za Kiume

    Wakati jamii ikitafsiri mwanaume kulia anapopatwa na matatizo ni udhaifu, wataalamu wa saikolojia na viongozi wa dini wanasema ni afya na humpa mhusika faraja ya maumivu anayopitia. Wameonya kuwa kukaa muda mrefu bila kuonyesha maumivu uliyoyapata kunasababisha kupoteza hamu ya vitu muhimu...
  20. BARD AI

    UTAFITI: Mvurugiko wa homoni chanzo cha kukosa nguvu za kiume, hamu ya tendo

    Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
Back
Top Bottom