Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza...
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani?
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kihisia na kimwili ambalo linaweza kuhusisha matatizo ya...
KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume.
Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
UTANGULIZI
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME
Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM
UTANGULIZI
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote.
Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
Niende kwenye Topic muhimu direct mimi King Kakaa na rafiki yangu tulie shibana sana jina Kapuni.
Rafiki yangu huyo naishi nae jirani hapa mjini ila Mkewe mwajiriwa Mkoa mwingine tofauti na mumewe sasa Jana jioni bila kunificha alianza kunieleza yanayo msibu.
Yeye ni Mtu wa Totoz sana sasa...
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Kutokana na tatizo hilo kuenea katika jamii, kumeibuka matumizi mabaya ya dawa za kuongeza nguvu za kiume pasipo kufuata ushauri wa wataalam wa...
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki imekamata vifaa tiba na dawa ambazo hazijasajiliwa zenye thamani ya Sh. milioni 294.4.
Bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia ukaguzi maalum, uliofanyika eneo la Mtaa wa Kitumbini katika Kata ya Mchafukoge katikati ya Jiji la Dar es Salaam...
Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana.
Sikuwa na rekodi yoyote kuhusu kuwa na msichana na wala kufanya zinaa.
NDUGU WAINGIA WASIWASI NA MIMI.
Baadhi ua ndugu, jamaa...
Habari wanajamii na kheri ya Eid El fitr! Naona kumekuwa na propaganda ati kwamba kwa wanaume kula kiepe kunaua nguvu za kiume ila wataalamu yaani madaktari wanakataa!
Vp wadau wa kiepe mumewahi experience erectile dysfunction kwa kula zege!
N.B walianza kutuambia Chinese mboga inaua nguvu za...
Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.
Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa...
Habari wakuu
Kiuhalisia namshukuru Mungu sana kwa kunitoa kwenya kifungo cha kupiga punyeto kilichodumu miaka (2011 - 2021)
Kiuhalisia safari ilikuwa nzuri hapo mwanzo na niliona ni hali ya kawaida tu mpaka pale nilipoanza kushindwa kumudu kitandani nikikutana na wanawake na hii imeshanitokea...
Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo.
Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati...
Chanzo cha kuandika haya ni utafiti wangu binafsi why nilikuwa naishia kamoja tu? Katika kuzunguka zunguka kwangu nikakutana kabinti fulani tukawa marafiki tukajihusisha katika mapenzi motomoto, tatizo langu lile la kuishia kamoja hakika mwanamama alilipatia utibabu sahihi kabisa maana...
ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!!
Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara...
Wataalamu wa Afya wanaeleza kuwa nadharia zote zinazozihusisha Chanjo za #Coronavirus na kupunguza nguvu za kiume na mfumo wa uzazi kwa mwanaume sio za kweli.
Aidha kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa juu ya suala hili Wataalamu wanabainisha kuwa Chanjo za corona zimetengenezwa ili...
Kama kuna mtu ambaye amewahi kutibiwa tatizo la maumbile madogo (kibamia) na akapona anisadie pia na mimi nipate tiba.
Tafadhali kama kuna mwenye uhakika na sehemu panapotolewa tiba ya uhakika anielekeze nami nikatibiwe kwa asiye na uhakika anaweza kuniweka wazi pia ili kuniepusha na gharama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.