Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme.
Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
Maadili ni nyenzo muhimu na nguzo kwa viongozi wa Umma katika kuleta ufanisi katika utendaji wa kazi zao kwa manufaa
ya wananchi na kwa taifa kwa ujumla.
Hakuna maendeleo yoyote katika nchi ambayo yanaweza kupatikana iwapo viongozi ambao ndio watendaji wa kazi watashindwa kufuata maadili ya kazi...
Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni.
Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini.
Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia.
Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu...
Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk Medard Kalemani ameagiza makandarasi au mameneja wanaolazimisha wananchi kulipia nguzo za umeme ili kuunganishiwa nishati hiyo kukamatwa.
Amesema watu hao wanapuuza agizo la Serikali inayotaka nguzo hizo kutolewa bure.
Ametoa ufafanuzi huo Februari 15, 2020...
Tunapenda kukufahamisha kuwa tuna MBAO na NGUZO ZA PLASTIKI (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) zilizo katika urefu na saizi tofauti, imara na madhubuti kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa makazi, bustani na Alama za Barabarani, kukutengenezea muonekano mzuri sana.
Mbao na Nguzo hizi za...
Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na ziungwe kwenye umeme moja kwa moja, hii itakoa fedha nyingi mno.
Pia badala ya kusimika mistimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.