nhc

  1. Leak

    Kukwama kwa miradi mikubwa ya NHC kunaumiza, kunaliza kunasikitisha sana. Ni wazi Nehemia Mchechu alikuwa bora? kwanini Lukuvi na Jenista bado wapo?

    Wasalaam Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami kuwa shirika lilikuwa limechangamka na lilikuwa na muelekeo mzuri sana na watanzania walikuwa...
  2. Ushimen

    UTUMISHI Jobs At TAFIRI, CBT, TAFORI, NHC, UDOM & TIRA, March 2021- (14 Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza hapo chini kudownload document PDF: TANGAZO LA KAZI UTUMISHI PDF APPLICATION INSTRUCTIONS
  3. Replica

    Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

    Halmashauri ya wilaya ya Chato ikishirikiana na NHC inawakaribisha watanzania kununua viwanja vya makazi, biashara na viwanda eneo la Rubambagwe lililo katikati ya mji wa Chato na pembezoni mwa ziwa Viktoria barabara kuu ya Bukoba. Chato inafikika kwa usafiri wa anga, maji na ardhini pia ni mji...
  4. mgt software

    Kitakachokukwamisha Waziri Lukuvi kuiokoa NHC hiki hapa

    Jf Naona anguko la NHC baada ya kususua kwa biashara nyingi Mjini linakuja kwa kasi, huku wafanyabiashara Mjini wakizidi kufunga biashara kwa kasi. Kinachokukwamisha ni kutojua kuwa wengi wa wafanyabiashara walikuwa wasimamizi tu , biashara nyingi zilikuwa za mawaziri na makatibu wakuu. Ofisi...
  5. M

    Vijana wacheza kamari wanasumbua eneo la NHC Mburahati, Polisi wanadai kesi hii ni ya Mgambo

    Napenda kutoa dukuduku langu Sisi wakazi wa Mburahati NHC eneo la Spider kama unaenda Luhanga tunasumbuliwa na vijana wacheza kamari. Vijana hawa wanapora wananchi. Hivi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa anafanya kazi gani kama kazi ya kulinda wananchi inamshinda? Wakazi wa hapa hatuna raha...
  6. K

    Sasa kushusha bei nyumba za NHC hasara ni ya nani?

    Jana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million. Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?
  7. J

    Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

    Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu. Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale...
  8. Jidu La Mabambasi

    Nadhani Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lipo katika hali mbaya ya kifedha

    Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha. Hii ni licha ya kuambiwa uchumi wetu wa viwanda unakua kwa zaidi ya 7%. Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama...
  9. N

    Njia mpya ya kulipia NHC Bills bado tatizo

    NHC kwenye Bill payment system yenu boresheni yafuatayo; 1.Mngeweka kwenye website yenu njia mpya ya kulipia hizo bills zenu kupitia control numbers... wengine tupo maporini lakini ni wapangaji wenu...naangalia hapa kwenye website yenu hata helpdesk page haifunguki nimeshindwa kupata msaada...
  10. BAK

    Govt orders 3 towers razed in the wake of Friday building collapse

    By Elisha Magolanga Dar es Salaam As the death toll occasioned by the collapse last Friday of a high-rise building along Indira Gandhi Street in Dar es Salaam reached 25 by mid-day yesterday, the government ordered a demolition of three structures close to the ill-fated one over safety...
Back
Top Bottom