ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Wosia wa Babu: "Enzi Zetu Tulikuwa Wanaume—Nyinyi ni nini hiki?

    Wanawake wenu wanaharibika. Watoto wenu wanapotea. Na si kwa sababu yao pekee—bali kwa sababu nyinyi mmejigeuza watu wa hovyo! Mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka, mnaigiza kutoona, mnapunguza uzito wa majukumu yenu kwa kisingizio cha "siku hizi mambo yamebadilika." Mmejificha nyuma ya...
  2. Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  3. Nimekuwa mtu wa kusaidia sana ila sifanikiwi na kila siku niko palepale maishani

    Nimekuwa mtu wa kusaidia sana angalau kwa kiasi kidogo ninachopata kuwatimizia wahitaji. Anaweza akapita mtu anahitaji msaada wenzangu wote watakaa kimya ila mimi lazima nitoe hata kama nimebakisha hikohiko mfukoni. Natoa sana msaada huko barabarani. Najitoa sana kwa mtu hata kama kaja kwangu...
  4. T

    Nyota ni nini?

    MADA: ASTROLOGY MKUFUNZI: Dr. Rwakiunge Rugambwa (PhD) UTANGULIZI: Nyota ni nini? Mara nyingi tunasikia watu huko nje au kila mahali wanazungumzia Nyota, Nyota, Nyota; lakini wanakuwa wakimaanisha nini hasa? Je, nyota ni nini? Kuna mitazamo tofauti kuhusu elimu ya Nyota. Wapo wanaoiunga...
  5. Maana yake ni nini: Nimepita klm 300 Matawi ya Simba na Yanga Barabarani ni Mengi kuliko ya CCM na CHADEMA.

    Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa. Najiuliza Watu wamehamia kwenye burudani...
  6. T

    Jeshi la polisi Manyara linawashikilia watu 10 wakiwemo Watumishi 9 wa LBL Manyara

    Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za kuwekeza na kukopesha fedha kinyume cha sheria na kanuni za Benki Kuu ya Tanzania huku mmoja wa...
  7. T

    AURA NI NINi

    Aura ni nishati au mwanga wa kipekee unaozunguka mtu, mnyama, au kitu, ambao unadhaniwa kuonyesha hali ya kihisia, kiroho, au afya ya mtu huyo. Katika imani za kiroho na metaphysics, aura huaminika kuwa na rangi tofauti ambazo zinaweza kuashiria hisia, hali ya akili, au hata tabia ya mtu. Kwa...
  8. “UNATAKA KUANZA BIASHARA, LAKINI HAUNA IDEA” HAPA NI NINI CHA KUFANYA?

    8. Jaribu na Chukua Hatua Ndogo Ikiwa bado unajisikia kukwama, jambo bora unaloweza kufanya ni kusitisha kufikiri kupita kiasi na kuanza kujaribu. Huhitaji kuwa na wazo bora au mpango mzuri wa biashara kabla ya kuchukua hatua. Wakati mwingine, njia pekee ya kupata wazo lako kubwa ni kujaribu...
  9. Ni nini kifanyike pale tunapoona mtu anatekwa au kuchukuliwa na watu pasipo ridhaa yake ?

    Habari wana JF ,natumaini mu wazima wa afya . Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu kuonekana wanachukuliwa kwa nguvu au kutekwa na kupotea kabisa . Kubwa zaidi katika matukio hayo kunaonekana kikiwa na watu pembeni wakishuhudia matukio hayo huku muhusika akipambana peke...
  10. Unataka kuanza biashara, lakini hauna idea” hapa ni nini cha kufanya?

    Kwa pamoja, sasa tuanze kujifunza hatua moja hadi nyingine. Njia 8 za Kugundua Wazo Lako Kubwa 1. Tambua Uwezo Wako na Mambo Unayoyapenda Moja ya njia bora za kugundua wazo lako la biashara ni kuanza na wewe sifa zako, nguvu zako, na mambo unayoyapenda. Kwa nini? Kwa sababu kujenga biashara ni...
  11. Unataka kuanza biashara, lakini hauna idea” hapa ni nini cha kufanya?

    Najua unatamani sana kuanza biashara. Unaiota, unazungumzia kuhusu hiyo, unakatiza kupitia hadithi za mafanikio mtandaoni ukifikiria, Hii inaweza kuwa mimi. Lakini unapokuja kuchagua wazo Unagandishwa. Unajisikia umekwama, umejaa wasiwasi, labda hata umechoka kidogo. Labda umeshawahi kusema...
  12. Ifahamu ROMANTIC SYNDROME SHOCK (RSS) Kwa Wapendanao

    Hii ni Hali ya mabadiliko ya ngozi na mwonekano wa mwili pale ambapo unapopata furaha kupitiliza hasa katika penzi jipya. Hali hii uwapata baadhi ya wapendanao hasa wanapokua ktk penzi jipya na wakionekana ktk furaha sana Mtu alieathirika na RSS huanza kuota vipele Vidogo kwenye lips...
  13. O

    Hivi lengo la kuja duniani ni nini?

    Kuna swali huwa linanizunguka kichwani hasa linaniambia lengo la kuja duniani nini? Kwanini wengine duniani watajirike na wengine wawe masikini? Na kwanini wengine wamake Impact ila wengine wasimake impact? Kwanini wagunduzi wengi wa Teknologia wengi ni ngozi nyeupe? Kwamba waAfrika wengi...
  14. D

    Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

    Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe. Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
  15. Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

    Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga? Je hii video ni halisi au AI?
  16. Kemikali batilifu ni nini?

    Kemikali hizi zinadaiwa kuharibu vijana je hivi ni vitu gani?
  17. Uzinzi ni mbaya sana ukishaingia katikati ya watu wenye makubaliano ya kuoana

    UZINZI ni NINI? Imeandaliwa na Magical power Uzinzi Ni tendo la kufanya mapenzi na mtu ambaye si mkeo au mume wako, na mara nyingi linachukuliwa kama kukiuka ahadi za ndoa au maadili ya kijamii... NDOA ni yale makubaliano ya mwanamke na mwanaume kuingia katika mkataba(agano)litakalo husisha...
  18. Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

    Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma? Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake.. Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...
  19. K

    Je Wasira anajua online TV ni nini?🤦🏾‍♂️

    Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
  20. S

    Kesho mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati huku Arusha-Arumeru tumekesha na Giza: Tatizo ni Nini?

    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme tuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…