ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Ricky Blair

    Nihilism ni nini?

    Nihilism ni imani au falsafa inayodai kwamba maisha hayana maana, thamani, au lengo lolote la msingi. Wanaofuata mtazamo huu wanakataa mambo kama maadili ya kidini, kanuni za kijamii, au dhana za kimaadili kuwa na msingi wa kweli au wa kudumu. Vipengele Muhimu vya Nihilism: 1. Kukataa...
  2. B

    Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
  3. D

    Hivi kuwasha ukikuachia kinachofuata ni nini?

    Nazungumzia kama vile umegusa upupu au mmea au mdudu yeyote anayewasha halafu ukaamua kuwa katili kwa kutojiwasha. Nini kitakutokea?!!! Karibuni kwa michango🙏🙏🙏
  4. Q

    Kazi ya Green Guard ni nini, mbona hivi vikundi vilishapigwa marufuku?

    Hivi vikundi vilipigwa marufuku na serikali lakini CCM bado inavitumia, ukifuatilia kwa undani zaidi unaweza kuta ndivyo vinavyotumika kwenye matukio mengi ya utekaji na uhalifu nchini na kulindwa na vyombo vya dola.
  5. Gol D Roger

    November ni Islamophobia awareness month, Islamophobia ni nini?

    Islamophobia ni nini? Na nini haswa lengo lake? Kiufupi, Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu. But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe na hofu juu ya mafundisho ya kiislamu? Kwani Uislamu una mafundisho gani ya kufanya watu wawe na...
  6. M

    Japokuwa Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya, ila wanafunzi wanaohitimu Tanzania ni wachache kuliko Kenya. Sababu ni nini?

    Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024 Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731. Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko. Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule...
  7. Q

    LGE2024 Lengo hasa la Mchengerwa kupanga mapingamizi yapelekwe siku za weekend ni nini?

    Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa. Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au? Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to...
  8. jacquejaytee

    Nini chanzo na tiba ya maumivu ya misuli ya miguu (muscle cramps)?

    Habari wanajukwaa, Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni kuanzia saa moja mpka usingizi utakapo mchukua. Ni hali inayojirudia kila siku mpaka imefikia hatua...
  9. Mndeme jeremia

    Chadema itikadi yenu ni nini??

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha Demokrasia na Maendeleo). 1. JE NINYI NI WAUMINI WA ITIKADI GANI? Pamoja na mafanikio makubwa kisiasa katikA...
  10. Chief Kumbyambya

    Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  11. K

    Wizara ya ulinzi ya Israel yaanzisha uchunguzi baada ya app ya Strava kutumika kudukua na kuvujisha taarifa nyeti za Jeshi La Israel

    Wajuzi T14 Armata 100 others and 100 others ILAN RAMON Mtu asiyejulikana, anayeaminika kuwa mpelelezi kutoka nchi ya kigeni, anatuhumiwa kwa kuendesha operesheni ya upelelezi inayolenga kambi za jeshi na maeneo nyeti nchini Israel. Operesheni hiyo ya upelelzi ilihusisha kutumia app ya Strava...
  12. T

    Ni nini Siri ya wabunge wa upinzani haohao kudumu kwenye majimbo kwa miaka.?

    Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile. Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
  13. J

    Dhambi ni Nini

    Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya lililo sawa ingawa mtu anajua...
  14. Kibosho1

    Kinachotushinda Wabantu kuchora na kupanga miji ni nini?

    Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani. Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi. Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
  15. lufungulo k

    Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
  16. Bams

    Israel Iliitaarifu Iran Maeneo Itakayoyapiga, Lengo Lilikuwa Ni Nini?

    Israel na Iran, zote zimekiri kuwa Israel, kabla ya kufanya shambulio dhidi ya Iran, kwanza iliitaarifu Iran juu ya muda na maeneo ambayo ingeyashambulia. U aweza kushangaa na kujiuliza, lengo lilikuwa ni nini? Maana ni sawa sawa mtu akuvizie ukapige kwenye mguu, ukaa kimya, halafu siku nyingine...
  17. O

    Nyota kujipanga mstari angani

    Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
  18. Massawejr

    Ni nini chanzo cha vijana wengi kuwa na tamaa

    Muda mwingi nimekuwa nikikaa na kuwaza kuhusu hili swala la vijana wengi kuwa na tamaa. Tumekuta vijana wengi wakiwa wanaingia katika wimbi kubwa la majanga na hasa ni tamaa, Tamaa imefanya vina wengi wakumbwe na majanga mbalimbali kama magonjwa na wengine tunaona wakiwa wanapoteza maisha...
  19. D

    Hivi tofauti ya mwendokasi na daladala ni nini kama unawesa kulisubilia lisaa lizima kituoni?

    Hivi sisi waafrika tunawezq nini hususani watanzania? UDART inakufa afadhri kupanda daladala kuliko kupanda hizi takataka wanazoita mwendo kasi. Kutokq moroco tu mpaka kariakoo unatumia masaa matatu? Sasa dhana ya mwendokasi
  20. dosho12

    Ni nini siri nzito iliyopo kweye bara la Antarctica

    Bara la Antarctica ni sehemu ambayo tumezoea kuambiwa ni eneo lilojaa barafu likiwa na viumbe waishio kwenye barafu tu ila hivi karibuni watu wamejawa na maswali na shauku ya kuwa hivi ni kweli hii eneo lina barafu na hao viumbe tu na hakuna kitu kingine kilichojificha, viasharia vinaanza...
Back
Top Bottom