Mwanasiasa mzuri na mahiri hutumia na kubadilisha changamoto anazokumbana nazo katika majukwaa ya kisiasa na kua fursa ya kujiimarisha na kujizatiti zaidi kufikia ndoto, lengo, matarajio na azma yake ya kisiasa..
Mathalani, kushindwa uchaguzi ni fursa muhimu sana ya kujitahimini, kujisahihisha...