niaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    DRC: Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo ya heshima ya M.T. Kasalu

    Mama Janeth Magufuli ametunukiwa tuzo DRC, tuzo ambayo hutolewa kwa wake wa viongozi wakuu na watu maarufu duniani. Tuzo hiyo ijulikanayo kama M. T. Kasalu aliyotunukiwa ni katika kutambua mchango wake kwa Taifa la Tanzania. Tuzo ya M.T. Kasalu hutolewa na taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu...
  2. B

    Chawa wapandisha site fake kwa niaba ya CHADEMA

    Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani. Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi. "Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba" Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu? Eti kumbe...
  3. J

    Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa. Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi! Gambo amesema hata ofisini kwake...
  4. SULEIMAN ABEID

    Mchango wa mbunge mpina bungeni, ahoji usiri mkubwa katika mikataba ambayo serikali inaingia kwa niaba ya wananchi

    Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha. Lakini pia taarifa...
  5. Chagu wa Malunde

    Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea? Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT? Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi...
  6. MURUSI

    Kufugiwa kwa niaba na kulimiwa kwa niaba

    Hii nchi wajinga ni wengi mno na hawataisha, yaani mtu hawezi hata ku-reason. Kweli kama kilimo kinalipa kuna mtu kweli atanyanyua mdomo kusema njooni tuwalimie kwa niaba yenu? Au kama ufugaji wa kuku unalipa kuna atakayehangaika na watu au atataka sokoni awe peke yake na apige pesa? Sijawahi...
Back
Top Bottom