Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.
Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.
"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"
Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?
Eti kumbe...