Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10
Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda...