HADITHI YA TEKE TEKE.
Bwana Athumani. Kila ifikapo jioni, yeye na jiko lake, anawasha moto, kiupepo cha jioni kikikoleza mkaa huku cheche zikiruka huku na kule. La haula, moto umekolea vyema huku fuko la mahindi likimtazama. Anachukua hindi moja baada ya jingine na kutoa maganda, nywele za...