nidhamu

Nidhamu is a recording by the jazz musician Sun Ra and his Astro-Intergalactic-Infinity Arkestra, documenting their first visit to Egypt.
Tracks 1-3 were recorded live at the Ballon Theatre in Cairo on December 17, 1971; track 4 is a solo keyboard performance recorded a week previously.

View More On Wikipedia.org
  1. saidoo25

    Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

    Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
  2. MamaSamia2025

    Wazambia wanashangaza na utamaduni wao wa nidhamu ya mdogo kumpigia magoti mkubwa.

    Miaka kadhaa iliyopita kuna picha ili-trend sana mitandaoni ya Waziri mstaafu wa kilimo wa Zambia kuonekana amempigia magoti Rais mstaafu Edgar Lungu (nimeipost). Watu wengi sana walitoa maoni yao na wengine kufikia hatua ya kumlaani Rais Lungu kuwa ni dikteta anayedhalilisha watu wake. DC wa...
  3. M

    Anataka kunichoma kwa kiongozi wa nidhamu wa kanisa

    Huyu ni binti ambaye nimekua nachat nae sana, iwe whatsap au msg za kawaida. Nina siku kama 21 hivi naye. Amekuwa akikataa, sasa nikawa natumia uanaume kumshawishi. Akaniambia nyie walimu ni njaa kali tu na mimi siezi date na mwalimu. Nikajua anataka hela nikamuambie anipe papuchi tu then kila...
  4. East

    SoC02 Umuhimu wa kuzingatia utoaji huduma bora kwa umma kutoka kwa watumishi

    Utangulizi. Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika nayo bila kinyongo. Mifano ya huduma ni kama kupata chakula, kutibiwa au hata huduma ya kufundishwa...
  5. MamaSamia2025

    Ewe Msanii/Kijana wa kitanzania sahau kuhusu mafanikio endapo huna nidhamu

    Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa (CCM). Leo nimeamua niandike kuhusu suala zima la nidhamu kwa wasanii wetu pamoja na vijana wote wa kitanzania. Vilio ni vingi kuhusu hali ngumu ya maisha huku wanaofanikiwa wakiwa wachache. Sababu ni nyingi sana ila mimi nitajikita kwenye kitu kinaitwa...
  6. T

    Wito: Mamlaka ya Nidhamu ya Kenani Kihongosi ipeni hadhi UVCCM juu ya suala lake la ufisadi, ni doa sugu.

    Kwa Sasa Kenani Kihongosi ndio kiongozi wa juu wa UVCCM kulingana na sera ya CCM ya mtu mmoja cheo kimoja kwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti kwa Sasa ni DC na Makamu Mwenyekiti ni waziri wa SMZ hivyo kwa nafasi yake ni Kama anahudumu kwa nafasi zote za juu za UVCCM hivyo suala la kinidhamu na...
  7. sky soldier

    Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima. Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa)...
  8. BigTall

    Makamu wa Rais Mpango amwambia Balozi Polepole kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma. Makamu wa Rais amempongeza...
  9. JanguKamaJangu

    Mtoto kutumia muda mwingi shuleni, inasaidia au inabomoa nidhamu yake?

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya shule za msingi na zile za awali zikiongezeka, hiyo imeendana sambamba na ongezeko la ratiba ya masomo kwa wanafunzi. Zamani ilizoeleka wanafunzi wanaotumia muda mwingi shuleni ni wale wanaosoma bweni, lakini hivi sasa hata wale wanaosoma ‘day’...
  10. John Haramba

    KENYA: Walimu waiomba Serikali kuruhusu wanafunzi wachapwe shuleni, wadai nidhamu imeshuka

    Baadhi ya walimu Nchini Kenya wanataka adhabu ya viboko kurudishwa shuleni, ili kuwaadhibu wanafunzi wasiokuwa na nidhamu. Adhabu ya viboko ilipigwa marufuku katika shule za Kenya mwaka 2001 na sheria inawalinda watoto dhidi ya manyanyaso ya aina yoyote. Lakini baadhi ya walimu wakuu wa shule...
  11. P

    Nidhamu ya uwoga iliyozuia wizi kwa Manunuzi pale MSD, ndiyo tunaitaka haraka sana irejee!

    Ndiyo, Tunaitaka haraka sana hiyo nidhamu ya uwoga ambayo Leo tunaona ilikuwa na mapungufu na haifai kumbe iliweza kuzuia ufisadi MSD Nidhamu ya uwoga ndiyo iliyoleta ufanisi Mkubwa na usimamizi mzuri wa kodi za wananchi karibu kila pahala Haitoshi tuu kuwa kiongozi sehemu Fulani na uongozi...
  12. Interest

    Kama nidhamu ya uoga inasaidia mambo yaende vizuri, inafaa sana

    HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima kubwa sana unaoonesha umuhimu wa personal integrity. Ukiwa muadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa. Kwa bahati mbaya sana, Watanzania kwa asilimia kubwa hatujalelewa kuwa waadilifu...
  13. Jidu La Mabambasi

    RPC Wankyo Nyigesa ni kielelezo cha kuzorota kwa kiwango cha utumishi na nidhamu ndani ya Jeshi la Polisi

    Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi. Malamiko madogo madogo ya utesaji, ubambikaji kesi, hata wizi na rushwa yalianza kuwa malamiko ya...
  14. Nyuki Mdogo

    Ushawahi kukutana na hii kamati ya Nidhamu? Tuambie ilikuaje!

    Huyo ni.mdudu hatari sana, anaitwa Nyigu. kwa maumivu yake hata Nyuki anasubiri Mara ya kwanza kukutana nae alinipa Komwe la muda mfupi na maumivu ya hatari😅😅 nikimuona naanza safari ya kujihami mapema sana vipi kwako, tupe stori..
  15. M

    Makonda aliweka nidhamu jiji la Dar na kusafisha uchafu wa maadili uliokuwa umekithiri. Sasa hivi Dar ni kama Jahanamu

    Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga. Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick. Wavuta bangi na...
  16. John Haramba

    Bernard Morrison aomba radhi Simba kwa utovu wa nidhamu alioufanya

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameomba radhi kwa wachezaji wenzake, benchi la ufundi pamoja na kwa uongozi wa klabu yake kwa utovu wa nidhamu aliouonyesha. Imeelezwa kuwa Morrison ambaye ni raia wa Ghana ametumia group la mtandao wa WhatsApp kuomba radhi kwa wenzake kisha akaomba...
  17. Replica

    Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

    Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
  18. DustBin

    Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

    Nawasalimu kwa jina la JMT Moja kwa moja niende kwenye mada. Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma. Heko..! Kwa...
  19. M

    Ni nidhamu kwa askari kulalamika waziwazi?

    Mimi kazi zangu huniwezesha kukutana na askari wa majeshi yetu mbali mbali,katika kupiga stori za hapa na pale hujikuta wanagusia na mambo ambayo mimi sitakiwi kuyajua,,,,kwa mfano kulalamikia maslahi yao kubanwa na watu wizarani au Rais kutoona umuhimu wa kazi wanayofanya,,,,,kwa mfano askari...
  20. tang'ana

    Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu

    Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Pongezi hizi ni za dhati kwa sababu kwa maelezo ya Membe, Watanzania wanapata nafasi kuelewa...
Back
Top Bottom