Wale ambao wazazi walitusimamia na wakatufundisha hardwok, nidhamu, kuwa busy na mambo yako.
Lakini mitaani maofisini na kila maeneo unakuja kugundua kumbe hardworking alone sio dawa.
Watu mitaani na maofisini wana vipaji vya ajabu kwenye kujipendekeza unafiki, fitina kuchafua wengine n.k...