Mamlaka nchini Niger zimeliamuru shirika la msalaba mwekundu kusimamisha shughuli zake nchini humo na kufunga ofisi zake mara moja .Vilevile, Niger imevunja mikataba iliyoruhusu shirika hilo kuendesha shughuli zake nchini Niger.
Baada ya kupokea amri hiyo kutoka serikalini, ofisi zote za...
Sasa ni rasmi kuwa Mali, Niger na Burkina Faso si wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nchi hizo zitoe taarifa rasmi ya kujitoa kwao. Kwa taratibu za ECOWAS, uanachama hukoma takribani mwaka mmoja baada ya nchi mwanachama...
Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
Katika hali iliyoshtua wengi, raia wa Algeria aitwaye Mohammed Amine Aissaoui mwenye umri wa miaka 35, amekiri kwamba aliahidiwa kiasi cha Euro 50000 sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 124 za Tz ili akafanye vitendo vya ugaidi nchini Niger.
Mohammed ambaye miongoni mwa raia wa Algeria...
Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Ufaransa, ilikuwa inamiliki asilimia 63.4 ya hisa za Somair huku serikali ya...
Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazounda umoja wa nchi za Sahel ( AES ) wamekutana na kufanya kikao nchini Niger jana tarehe 3 Disemba 2024.
Wakuu hao wa majeshi walifanya tathmini ya mwenendo wa mapamabano dhidi ya magaidi wanaozisumbua nchi zote tatú.
Baada ya...
KAMPUNI ya Orano kutoka nchini Ufaransa imepata hasara kubwa kulingana na taarifa yake ya fedha ya nusu mwaka ( Januari hadi Juni 2024) iliyochapishwa na Yahoo Finance.
Taarifa hiyo inaonesha kwamba kampuni hiyo ilipata faida ya Euro Milioni 12 pekee ikilinganishwa na faida ya Euro Milioni 260...
Hivi wasiwasi unatoka wapi,
Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao..
Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa..
Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia..
Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini.
Naomba tuwe...
Majanga, na wao, wahala!
Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?
Kwani wadada wa Tz wana shida gani?
Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri
Angalia current girl friend jamaan
Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amethibitisha tukio hilo leo Ijumaa huku akisema kuwa hakuna...
Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
Watawala wapya wa Niger wamefuta mahusiano na taifa la Ufaransa ambalo ndilo lilikuwa mkoloni wao.
Ufaransa baada ya kusita sita hatimae ilishindwa hoja na ikaamua kuongoka.
Marekani nayo imetakiwa ifanye kama hivyo lakini imekuwa king'anng'anizi ikidai kuwa inalinda maeneo ya jangwa la Sahel...
Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo.
Niger tayari imefuta makubaliano ya kijeshi na Marekani mwezi uliopita, na hii inakuja miezi michache baada ya mamlaka ya kijeshi ya nchi...
DAKAR, Senegal — Russian soldiers arrived in Niger this week, according to Nigerien state television, less than one month after the military junta announced that it was ending military agreements with the United States.
Russian soldiers in military fatigues said in the report that they would be...
AFRICAN LANGUAGES AND THEIR FAMILIES
What is Language?
language is a system of conventional spoken, manual (signed), or written symbols by means of which human beings, as members of a social group and participants in its culture, express themselves.
What is Language family?
A language family is...
UPDATE:
Ecowas yawaondolea Vikwazo Guinea, Mali, Niger na Burkinafaso
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imeamua kuondoa vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa kwa Niger, Mali, na Burkina Faso
Hatua hii ni kufuatia majadiliano ya muda mrefu ya viongozi wa kikanda katika...
Mechi inapogwa muda huu, mpaka sasa ni kipindi cha mapumziko Niger 0 Tanzania 0
==
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeanza vizuri Kuwania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Niger goli 1-0, mfungaji akiwa ni Charles M’mombwa katika mchezo wa Kundi E.
Mtanange huo umepigwa...
Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa Niger.
Tayari Sokabet Nao washafanya yao huko! Ushindwe wewe tu kupiga mkwanja! Wanacheza, Unashinda!
Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia.
Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
Wanajeshi kutoka nchi ya Ufaransa walioletwa Niger kulinda usalama dhidi ya vikundi vya kigaidi wanaonekana kwenye video hapo nchini wakifungasha virago maeneo ya Airport ambapo ndege yao ilitua hili kuanza mchakato wa kuondoka nchini humo baada ya kauli ya kiongozi wa kijeshi nchini Niger...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.