Upinzani mkali uliotokea ndani ya maseneti ya Nigeria na miongoni mwa wananchi imetajwa ni sababu kuu zilizopelekea muda uliotolewa kama ukomo wa kurudishwa Rais Bazoum wa Niger madarakani kupita bila kutokea chochote.
Raisi Bola Tinubu ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa ECOWAS amelaumiwa kwa...
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER ( Russia + Wagner ) na ECOWAS ( France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa.
======...
Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini?
Kumbe...
Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum
Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa...
Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger.
Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege...
Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe.
Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani.
Sasa Rais aliyepinduliwa...
Skip links
Skip to Content
LIVE
News
Niger’s military rulers ask for help from Russian group Wagner
The new military government seeks help from Wagner mercenaries against ECOWAS intervention, according to a news report.
The streets of Niamey, the capital of Niger, days after the coup [File...
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka mabaya
Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
Wachambuzi wa mambo wamejikita katika upatikanaji Uranium huko nchini Niger kwa kusema France atalazimika kuingiza jeshi kusuport ECOWAS kuipiga NIGER kama jeshi la nchi hiyo halitomrejesha Rais aliyepinduliwa.
Licha yakuwa Niger ni mzalishaji mkubwa mmojawapo wa Uranium dunian ila bado Ulaya...
Afrika inahitaji amani kuliko vita. Rais wetu, hebu nenda huko Niger kawasuluhishe kabla hawajaanza kuuana. Ninaamini watakusikiliza kwani wewe ndiye rais mwanamke pekee barani Afrika kwa sasa.
Ukifanikisha, utajipatia sifa ya pekee kama Rais mwanamke uliyeweza kuepusha maafa na mauaji ya...
Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi.
Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae...
"Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu.
Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
Nigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria.
Chanza: swahilitimes
Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha nguvu kupambana na uvamizi unaopangwa dhidi ya mataifa yao.
Majuzi tumesikia habari kuwa Marekani na...
Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger Jumatatu umeishutumu Ufaransa kutaka ‘kuingilia kati kijeshi’ ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’atuliwa Mohammed Bazoum, huku mivutano ikiongezeka kati ya Niger na Ufaransa, iliyokuwa mtawala wa kikoloni kwa Niger, na majirani zake.
Ufaransa ilijbu mara...
Mara tangazo la raisi Bazoum kushikiliwa na walinzi wake lilipotoka ilionekana kama ni jaribio la mapinduzi ambalo lingeshindwa.Lakini hata hivyo kiongozi wa kikundi hicho Gen Abdourahmane Tchiani ambaye mwanzoni alitoa tangazo akiwa kifua wazi alionekana kukaza kamba na kuungwa mkono na kada...
Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii....
Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg.
Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
A fighter of the Wagner private mercenary group is seen atop of an armoured vehicle in a street near the headquarters of the Southern Military District in the city of Rostov-on-Don, Russia
Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who remains active despite leading a failed mutiny against the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.