niger

Niger or the Niger ( or ; French: [niʒɛʁ]), officially the Republic of the Niger, is a landlocked country in West Africa named after the Niger River. Niger is bordered by Libya to the northeast, Chad to the east, Nigeria to the south, Benin to the southwest, Mali to the northwest, Burkina Faso to the southwest, and Algeria to the northwest. Niger covers a land area of almost 1,270,000 km2 (490,000 sq mi), making it the largest country in West Africa. Over 80% of its land area lies in the Sahara Desert. The country's predominantly Muslim population of about 22 million live mostly in clusters in the far south and west of the country. The capital and largest city is Niamey, located in Niger's southwest corner.
Niger is a developing country, which consistently ranks near the bottom in the United Nations' Human Development Index (HDI); it was ranked 187th of 188 countries for 2015 and 189th out of 189 countries in the 2018 and 2019 reports. Many of the non-desert portions of the country are threatened by periodic drought and desertification. The economy is concentrated around subsistence, with some export agriculture in the more fertile south, and export of raw materials, especially uranium ore. Niger faces serious challenges to development due to its landlocked position, desert terrain, inefficient agriculture, high fertility rates without birth control and resulting overpopulation, the poor educational level and poverty of its people, lack of infrastructure, poor healthcare, and environmental degradation.
Nigerien society reflects a diversity drawn from the long independent histories of its several ethnic groups and regions and their relatively short period living in a single state. Historically, what is now Niger has been on the fringes of several large states. Since independence, Nigeriens have lived under five constitutions and three periods of military rule. After the military coup in 2010, Niger became a democratic, multi-party state. A majority of the population lives in rural areas and has little access to advanced education.

View More On Wikipedia.org
  1. Yaliyoikuta US kwa Taliban yamewafika Ufaransa nchini Niger

    Taifa la Marekani liliingia vitani nchini Afghanistan kwa kisingizio cha kuitia adabu kwa vile ilikataa kumkababidhi Osama kwao aliyetajwa kuongoza uripuwaji wa majengo pacha ya New York.Vita vilikuwa ni vikali sana vilivyouwa maelfu kwa maelfu ya watu nchini Afghanistan. Matekani hakuna...
  2. Ufaransa yatangaza kuwaondoa Balozi na Wanajeshi wake kutoka Niger

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema watachukua maamuzi hayo kutokana na Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Niger ya kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum. Amesema “Tutatekeleza hilo ndani ya saa kadhaa zijazo, Balozi na Wanadiplomasia wetu watarejea nyumbani, hivyohivyo kwa vikosi vyetu...
  3. Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  4. Niger: Uongozi wa Kijeshi wampa Balozi wa Ufaransa saa 48 kuondoka Nchini humo

    Uongozi wa kijeshi wa Niger umemtaka Balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo, hatua inayozidisha mzozo wa kimataifa katika Taifa hilo la Afrika Magharibi baada ya mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya Kidemokrasia. Serikali ya Kijeshi ya Niger pia iliidhinisha...
  5. UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki shughuli zote za muungano

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
  6. Papa Francis: Suluhu ya amani ipatikane Niger

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameelezea matumaini yake ya kupatikana kwa suluhu ya amani katika mgogoro wa Niger kufuatia mapinduzi ya Rais yaliyofanyika katika Taifa hilo la Afrika Magharibi. DW Kiswahili imeripoti kuwa Papa amewaambia Waumini katika uwanja wa St Peters...
  7. Kiongozi wa Mapinduzi Niger aahidi kurejesha Mamlaka ya Kiraia ndani ya Miaka 3, ECOWAS yakataa

    Jenerali Abdourahamane Tchiani ametoa ahadi hiyo baada ya kukutana na Wapatanishi kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) katika mji mkuu, Niamey. Hata hivyo, ECOWAS kupitia kwa Kamishna wake ilikataa kukubaliana na muda wa miaka 3 na kueleza kuwa inabidi wahusika...
  8. Ndege ya Urusi imetua katika mji mkuu wa Niger

    Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger. Wagner imewaajiri maelfu ya maveterani wa vita kutoka Syria, ambao walikuwa wanapigana kulinda serikali ya Syria dhidi ya ISIS, Al-Qaeda na FSA...
  9. Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  10. Mkao wa Vita: Viongozi wa Kijeshi wa Niger wajiandaa kikamilifu kwa vita

    Katika kuonyesha kwamba uongozi wa kijeshi nchini Niger umedhamiria kupambana na yeyote atakayeishambulia nchi hiyo. Viongozi hao wameanza kuhamishia familia zao Dubai, Bukina Faso na kwingineko. --- There are strong indications that members of the Niger junta have begun to evacuate their...
  11. Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umepinga kuiingilia Niger kijeshi mpango ambao ECOWAS uliuwakilisha kwenye kikao hicho

    Umoja wa Afrika umekataa mpango ya ECOWAS wa kuingilia kijeshi nchi ya Niger, na hivyo kuonyesha kutokubaliana na msimamo wa ECOWAS, kama ilivyoripotiwa na Le Monde. Kwa mujibu wa chapisho hilo, wakati wa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika tarehe 14 Agosti, iliamuliwa...
  12. Makundi ya wananchi Niger yaapa kupigania ulinzi wa nchi

    Makundi kwa Makundi ya wananchi wenyeji katika mji mkuu wa Niger, Niamey wameapa kuajiri makumi ya maelfu ya watu wa kujitolea kupigana pamoja na jeshi la Niger katika ulinzi wa nchi yao, dhidi ya hali ya uingiliaji wa kijeshi unaoungwa mkono na magharibi kupitia ECOWAS. wakazi walizungumza kwa...
  13. Niger ni kipimo kingine cha ujinga wa binadamu

    Vita huja kwa ajili ya kuokoa wengi wasijeumizwa na wengine,majeshi yapo kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao ili yasivamiwe na wakorodi. Ingawa Ni kweli, toka zamani vita zilitumika kuleta usawa pasipokua na usawa,kuleta haki pasipokua na haki,lkn ni vema kutatmini madhara na faida ya vita...
  14. Ufaransa imekasirishwa na mwenendo wa Marekani kuhusu Niger

    Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya. Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
  15. Niger: Mohamed Bazoum, Rais aliyeondolewa madarakani kushitakiwa kwa Uhaini

    ========== Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka kwa uhaini. Viongozi hao wa mapinduzi wamemfunga Bazoum na kuvunja serikali iliyochaguliwa, kitendo...
  16. Viongozi waliofanya Mapinduzi Niger wakubali kuzungumza na ECOWAS

    Taarifa imethibitishwa na Wanazuoni wa Kiislamu waliokutana na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Jenerali Abdourahamane Tchiani kwaajili ta kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea. Mazungumzo hayo yamefanyika wakati Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiendelea kutafuta njia za...
  17. A

    Nini Msimamo wa Tanzania Migogoro Niger?

    Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua
  18. M

    Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

    --- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed Bazoum's prolonged arrest by the military junta that has taken control of the Niger Republic...
  19. Ufaransa kuivamia Niger itakuwa ni habari mbaya sana kwa Afrika

    Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu. Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha...
  20. Ububu wa AU na ECOWAS baada ya mapinduzi ya Niger waonyesha jinsi akili ya Mwafrika ilivyofumbwa na kuwa tegemezi

    Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria. ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka bila kufikiri wakatangaza kuwa watachukua hatua za kijeshi endapo raisi wa Niger aliepinduliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…