niger

Niger or the Niger ( or ; French: [niʒɛʁ]), officially the Republic of the Niger, is a landlocked country in West Africa named after the Niger River. Niger is bordered by Libya to the northeast, Chad to the east, Nigeria to the south, Benin to the southwest, Mali to the northwest, Burkina Faso to the southwest, and Algeria to the northwest. Niger covers a land area of almost 1,270,000 km2 (490,000 sq mi), making it the largest country in West Africa. Over 80% of its land area lies in the Sahara Desert. The country's predominantly Muslim population of about 22 million live mostly in clusters in the far south and west of the country. The capital and largest city is Niamey, located in Niger's southwest corner.
Niger is a developing country, which consistently ranks near the bottom in the United Nations' Human Development Index (HDI); it was ranked 187th of 188 countries for 2015 and 189th out of 189 countries in the 2018 and 2019 reports. Many of the non-desert portions of the country are threatened by periodic drought and desertification. The economy is concentrated around subsistence, with some export agriculture in the more fertile south, and export of raw materials, especially uranium ore. Niger faces serious challenges to development due to its landlocked position, desert terrain, inefficient agriculture, high fertility rates without birth control and resulting overpopulation, the poor educational level and poverty of its people, lack of infrastructure, poor healthcare, and environmental degradation.
Nigerien society reflects a diversity drawn from the long independent histories of its several ethnic groups and regions and their relatively short period living in a single state. Historically, what is now Niger has been on the fringes of several large states. Since independence, Nigeriens have lived under five constitutions and three periods of military rule. After the military coup in 2010, Niger became a democratic, multi-party state. A majority of the population lives in rural areas and has little access to advanced education.

View More On Wikipedia.org
  1. Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

    Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama. Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
  2. Niger: Wanaosapoti Mapinduzi wavamia ofisi ya Chama Tawala na kuchoma moto

    Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika. Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo limetoa tamko la kuunga mkono Wanajeshi waliomteka Rais Mohamed Bazoum Wakati huohuo, Urusi imeungana...
  3. Niger: Jeshi lapindua Serikali

    Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa. ====== Wanajeshi wa Niger wadai kumuondoa madarakani Rais Bazoum – DW – 27.07.2023 Grace Kabogo Kundi la wanajeshi wa Niger...
  4. FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

    Leo majira ya saa 10 alasiri Taifa stars itachuana na Niger katika mchezo wa kufuzu Afcon 2024. Tutakuwa mubashara kupitia uzi huu
  5. Wanajeshi 7 wa Niger wauawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini

    Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema. Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
  6. S

    Yanga wafanyiwa figisu, wapewa gari bovu Nigeria

    Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
  7. Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  8. Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

    TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa...
  9. Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

    Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa...... To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in. Algeria, Niger and Nigeria signed a...
  10. Niger vs Taifa Stars | Tufanyeje kuweza kuwafunga Jumamosi?

    Wanabodi. Mbona naona kama wabongo hatuna kabisa mzuka na hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Shida ni nini? hakuna uzi nyingi humu why? Wangapi tuna mpango wa kuiombea na kuishangilia timu yetu ya Taifa ikiipasua Niger jumamosi hii? Samatta mechi za kirafiki ameonesha ni mzuri sana kwa assist...
  11. Watu 18 wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Niger

    Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi. Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
  12. Shambulizi la jeshi la Nigeria lawaua watoto 7 Niger

    Watoto saba wamekufa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulizi la angani nchini Niger hii ikiwa ni kulingana na gavana wa jimbo moja nchini humo Shambulizi hilo lililofanywa na vikosi vya Nigeria katika eneo la mpakani lilikuwa likiwalenga majambazi lakini badala yake liliwaua na...
  13. Niger: Watoto wapatao 25 wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto

    Watoto wapatao 25 wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto Wengine kadhaa walijeruiwa wakati wa ajali hiyo ya moto ambayo ilitokea Jumatatu asubuhi wakati watoto wakiwa darasani wakisoma katika shule iliyopo eneo la Maradi. Chanzo cha moto huo bado...
  14. Niger: Watu 69 wauawa katika shambulizo. Serikali yatangaza maombolezo ya siku mbili

    Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
  15. Ripoti: Watu zaidi ya 500 wameuawa Niger kuanzia Januari hadi Julai

    Shirika la Haki za binadamu la Amnesty limesema mashambulizi yameongezeka Magharibi mwa Niger tangu mwaka 2021 kuanza, huku idadi ya Watoto wanaolengwa ikiongezeka Watu zaidi ya 500 wamepoteza maisha katika Mkoa wa Tillaberi ambao unapakana na Nchi za Mali na Burkina Faso kuanzia Januari 01...
  16. 83 wafariki dunia kwa Kipindupindu Niger

    Mamlaka Nchini Niger zimesema watu 83 wamefariki dunia kutokana na Ugonjwa wa Kipindupindu ikielezwa zaidi ya Visa 2,300 vimeripotiwa tangu Machi 13 Mikoa sita kati ya nane ya Taifa hilo limeathiriwa na Ugonjwa huo ambao umekithiri zaidi kutokana na mafuriko. Mapema mwezi Agosti, Waziri wa Afya...
  17. J

    Under Secretary Nuland’s Travel to South Africa, Botswana, Tanzania and Niger

    Under Secretary for Political Affairs Victoria Nuland will travel to South Africa, Botswana, Tanzania, and Niger from July 31 to August 6. In South Africa, the Under Secretary will meet with senior South African officials and co-chair the Working Group on African and Global Issues to advance...
  18. Wanamgambo wameua watu 100 Niger

    Waziri mkuu wa Niger amesema kwamba karibu watu 100 wameuawa katika mashambulizi ya wanamgambo katika vijiji viwili karibu na mpaka na Mali. Brigi Rafini amesema kwamba watu 70 wameuawa katika Kijiji cha Tchombangou na 30 zaidi kuuawa katika Kijiji cha Zaroum-dareye. Mashambulizi hayo...
  19. Operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Marekani yafanikisha kuokolewa kwa Raia wa Marekani aliyetekwa nyara nchini Niger

    Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria, vyombo vya usalama nchini Marekani vimethibitisha. Raia huyo, Philipe Nathan Walton, alitekwa nyara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…