Nilivyokuwa Mdogo nilidhani kuwa wanawake wote wanaojistiri hawajihusishi na Ngono mpka Ndoa, Kumbe nilikuwa najidanganya.
Baada ya kula chumvi nimekuja kugundua kuwa yale ni mavazi tu na sio tabia japo yanaongeza heshima kwa mtu.
Wewe ulivyokuwa mdogo ulidhani kitu gani kumbe ni tofauti na...