Ulivyokuwa mdogo ulidhani kitu gani ndivyo kilivyo ukaja kugundua kumbe siyo?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Nilivyokuwa Mdogo nilidhani kuwa wanawake wote wanaojistiri hawajihusishi na Ngono mpka Ndoa, Kumbe nilikuwa najidanganya.

Baada ya kula chumvi nimekuja kugundua kuwa yale ni mavazi tu na sio tabia japo yanaongeza heshima kwa mtu.

Wewe ulivyokuwa mdogo ulidhani kitu gani kumbe ni tofauti na ulivyodhania.

Tiririka...
 
Siyo mimi ni nyumba ya jirani baba na mama yao wakisafiri wale wadada walikua wanakuja kwetu kuomba nikalale kwao kwasababu wanaogopa mi nilikua mdogo kuliko wao ila iman yao ni kuwa wakilala na mtoto wakiume ndani wanakua salama, kumbe mwizi akija alikua anaweza kuniiba na mimi
 
They molested you goddamit
 
Kuna aina mbili ya watenda zambi
1. Wanaojionyesha wazi wazi mfano kuzini, kutukana, kuiba, kusengenya

2. Wanaotenda dhambi kwa siri.

Hamna ambae hatendi dhambi kabisa
 
Nlikuwa najua mwenye chunusi usoni ana UKIMWI aisee kipindi flan sijui ni balehe ile nlitokewa na chunusi nikawa mfano shuleni

Nlikuwa najua mda wa kudinyana mdada anavolia anaumia.........aloooooh😁🙌

Nlikuwa najua kila anaevaa miwani ana akili
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom