Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali)
Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa
Mwenye kujua anipe mwongozo
Wadau njooni hapa tufarijiane.
Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda vizuri, nilicheleweshewa malipo sehemu, ila benki tulikuwa tunawasaliana vizuri tu.
Badae nikalipa na mda...
Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress, ingawa nina hofu ya kutofikia lengo ifikapo 30 june mwaka huu hali ambayo nahisi itaniathiri sana...
Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia .
mwamba hivi sasa ana magoli jumla...
Iko hivi, kuna mdau amenifata akanieleza juu ya mahusuano yake na mwanamke wake.
Aligombana na huyo dada ikafikia akaachwa, tena akaambiwa ana mtu mpya anaempenda sana. Jamaa akakausha ila baada ya siku mbili yule dada akamtafuta jamaa wakarudiana lakini jamaa akawa hajali tena kuhusu yule dada...
Juzi nilimsikiliza waziri wa mipango akiongea clouds nilishangaa sana waziri wa mipango anaongea habari ya ajira kama ambavyo kila layman anaongea. eti anasema serikali haitoi ajira watu wajiaijri.
Mimi siamini kama vijana wanakosa ajira, wanakosa kwa sababu ya kukataa ajira za sekita binafsi...
Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba.
Halima mpaka leo ni single na hana...
Wakuuu za mida,
Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee.
JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu.
Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa.
Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu 😭😭😭na IG...
Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be...
Kelele huwa ni nyingi sana pale inapoonekana chombo cha usafiri hasa wa umma pale jijini Dar kujaza abilia kupita kiasi.
(Kwa wasio na bundle)👇🏾
Baada ya kupita mitaa fulani nikakutana na tukio hili, hapo ni China na hiyo ni treni ya mapema sana kutoka mji A kwenda mji B.
Kutokana na wingi...
Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6.
Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.
Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida...
Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa ya Corona na namba ya NIDA, wakasema wanahitaji kadi kabisaa siyo namba!
Nilijiandikisha tangu...
Habari,
Naomba msaada wa mawazo. Nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri.
Kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
Popote ulipo Happy uliniweza.
Mwaka 2015 niliingia kwenye mahusiano na pisi moja ya kuitwa happy, aisee huyu manzi alikuwa mkali siyo mchezo.
Huyu Happy nilikutana naye nilipokuwa nimepanga mimi na marafiki zangu wawili (ghetto) nyumba ambayo nilikuwa nimepanga alikuwa amepanga dada yake siyo...
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?
Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa...
Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea.
Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.