Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
kuna haja mashirika wanaita ya kimataifa na mishahara yao ipo na jina mfano grade P3 unapata ni hela ndefu kwani pia wanalipwa kwa dola..sasa kuna wale wamekuja kutoka nchi fulani let say west african or other countries lakini anamaisha ya kawaida sana yaani hajaendani na mshahara anaolipwa...
Wapendwa kwema?
Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili.
Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu...
Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe.
Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19.
Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya Mh. Rais
Ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.