Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress, ingawa nina hofu ya kutofikia lengo ifikapo 30 june mwaka huu hali ambayo nahisi itaniathiri sana...