nimekuja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    SoC02 Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kujifunza na kufundishia

    By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili? Sipati majibu.. kuna...
  2. Hatimaye nimekuja kubaini Tanzania ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli

    Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani. Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CCM na...
  3. Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

    Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache. Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako...
  4. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  5. Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

    Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji...
  6. Nimekuja nipokeeni

    Hellow,hellow! Nimekuja,nipokeeni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…