Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa.
Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...