1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu
2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakati wenzangu kitu kidogo tu washachoka
3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu
4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku...