Ni uzee umepiga hodi au nimerogwa wakuu?

Ni uzee umepiga hodi au nimerogwa wakuu?

Ulikamia mkuu na hayo mawazo ya kumchukulia ni pisi kali huwa ni vitu vinavyomfanya kichwa wazi apunguze ulafi.
Muite mara ya pili utaona changes
 
Za saizi wakurugenzi?
Nimesononeka sana usiku wa leo,yani kuna pisi kali nilikua nimeipanga jana ikaingia kwenye mfumo,cha ajabu usiku kucha nimeishia kupiga viwili tu.
Ni uzee au ndo nimerogwa?
Tena inaonekana hata hizo mbili umepiga ni Kwa-interval ya masaa 6 pole sana
 
Mungu hujibu maombi,
kila siku unaomba Mungu akupe maisha marefu,, amekupa umri mrefu lakini kapunguza uwezo wako wa kuscore

jaribu kuomba ufe kesho utaona utakavo mwaga moto
 
Za saizi wakurugenzi?
Nimesononeka sana usiku wa leo,yani kuna pisi kali nilikua nimeipanga jana ikaingia kwenye mfumo,cha ajabu usiku kucha nimeishia kupiga viwili tu.
Ni uzee au ndo nimerogwa?
Ulitarajia ujikojolee mara ngapi?
 
Back
Top Bottom