Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Raila Odinga, ametunukiwa Nishani ya Juu Zaidi ya Heshima Nchini Kenya — Chief of the Order of the Golden Heart (C.G.H), heshima ambayo ni ya juu kuliko zote nchini
Tuzo hiyo imetolewa rasmi na Rais William Ruto Oktoba 20, 2025, wakati taifa likiadhimisha Sikukuu...