nishati safi ya kupikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia (PPP tunayohitaji Kuingia)

    Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...
  2. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia (Ushauri kwa Watunga Sera)

    Kama Mwananchi nimeamua kufanya my Civic Duty..., Tumepata bahati sana wakati huu Dunia nzima imejikita kwenye Nishati Safi, hivyo kuna Pesa za Kumwaga ambazo either tutazitumia vizuri na kuwanufaisha wananchi na vizazi vijavyo kwa kujenga / kuanzisha kitu ambacho kitatusaidia milele na milele...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wilaya ya Mkalama, Singida

    MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama Mhe...
  4. Waufukweni

    Waziri Lukuvi aunga mkono matumizi ya nishati safi ya kupikia, atoa mitungi ya gesi kwa vijana

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya kata ya mpira wa miguu katika jimbo la Isimani. Waziri ametoa majiko...
  5. Ojuolegbha

    Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia

    Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia.
  6. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri TAMISEMI ahamasisha matumizi ya Nishati safi Kigoma, Agawa Mitungi ya Gesi 200

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kigoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amewaomba wanawake wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kuhamasika na matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwani waathirika wakubwa wa matumizi ya Nishati isiyo rafiki ni wanawake. Mhe. Katimba amesema hayo...
  7. Logikos

    Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 Ukonga-Dar: Jerry Silaa agawa majiko ya gesi kwa mama lishe na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kulinda mazingira

    Mbunge wa Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amegawa majiko ya gesi ya kupikia kwa mama lishe jimboni kwake, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha...
  9. K

    Nishati safi ya kupikia: Wengi wanatamani kuanza kutumia gesi lakini hawawezi

    Tanzania inaweka juhudi kubwa kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambayo inalinda mazingira lakini pia afya ya wanawake na watoto ambao wanaathirika zaidi na matumizi ya nishati ambazo sio rafiki kwa mazingira na afya. Hapa naongelea mkaa, na kuni lakini hata hivyo kwa maeneo ya mijini...
  10. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

    RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
  11. K

    Dkt. Doto 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika Kizimkazi-Zanzibar

    DKT. BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar. Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko...
  12. Tukuza hospitality

    SoC04 Nishati Safi ya Kupikia Iwe Dhana Mtambuka kwa Idara zote za Serikali

    Utangulizi Ni ukweli kuwa swala la nishati safi ya kupikia limekuwa linapigiwa chapuo kwa miaka mingi na serikali pamoja na wadau wengine mbalimbali, yaani watu binafsi na asasi za kiraia. Tangu utawala wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius K. Nyerere hadi sasa, swala la nishati safi limekuwa...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  14. H

    SoC04 Matumizi ya Bio gesi kama nishati safi ya kupikia yenye gharama nafuu na pia kama njia ya kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi

    Bio gesi ni nishati ambayo hutengezwa kwa kutumia kinyesi cha wanyama kama vile ngombe, mbuzi na kondoo, na wanyama wengine ambao ni wakufugwa,pia huzalishwa baada ya kuoza kwa mbolea ya wanyama au taka za kikaboni. Picha Baraza la usimamizi wa mazingira (NEMC)...
  15. Janeth Thomson Mwambije

    Kuendeleza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa...
  16. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia > (Tofauti ya Gesi Asilia (Methane) na Gesi ya Mitungi Majumbani (Propane)

    Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na kuelezea kama hizo nyuzi mbili zinavyojieleza...
  17. Logikos

    Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)

    Huu ni muendelezo wa Uzi wa Kuhoji Nishati gani kwa Tanzania ni Safi na Ina Uwezekano mkubwa kufanikiwa. Kwenye huu Uzi taelezea ni jinsi Gani Nishati hii Safi na Bora kuliko Gesi inaweza kuwa na Gharama mpaka ya 0 Kwa mtumiaji, Na hapo bila / kabla ya Serikali Kushuka Bei ya Units. Kwahio...
  18. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi

    Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo zitakuwa hazina manufaa kwetu. Nishati zilizopo: Kwenye kila kaya aina ya Nishati inayotumiwa...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wajasiriamali wa mikopo ya asilimia 10 Singida DC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani 2024 alipata fursa ya kuwa mgeni rasmi katka sherehe zilizofanyika Tarafa ya Mntinko Wilaya ya Singida. Mhe. Aysharose Mattembe aligawa Vyeti vya pongezi kwa vikundi vya Wajasiriamali...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe 02 Disemba, 2023. https://www.youtube.com/live/QhCQ0BcQr6Y?si=YVfDvsdluuMGYwOv Rais wa Jamhuri ya...
Back
Top Bottom