Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
Katika jitihada za kuhakikisha maeneo yote nchini yanapata umeme wa uhakika, Serikali imeshaanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa Gridi katika Mkoa wa Rukwa kupitia mradi wa TAZA ulioanza kutekelezwa mwezi Novemba, 2023 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti, 2026.
Hayo yameelezwa leo...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania...
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Kampuni za ETDCO na TCPM
#Awaasa kusimamia majukumu yao kwa weledi na kutekeleza miradi iliyokusudiwa kwa maslahi mapana ya nchi
Dar es salaam
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania...
Soma Sehemu ya Kwanza hapa: Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza)
Nini kifanyike:
Umeme wa upepo ni moja kati ya vyanzo anuwai vya nishati mbadala vilivyopo, na ambavyo havijatumika kutatua tatizo la umeme nchini. Wakati mahitaji yakiogezeka maradufu, ni Dhahiri kwamba...
Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini
Miongoni mwa ajenda kuu kwenye Mkutano wa 28 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 28) pale Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ilikuwa nishati safi.
Mkutano wa mwaka huu ulioanza Novemba 30, ulihitimishwa siku ya Jumanne...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023.
Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba 6, 2023 ambapo Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,158, Tanga Tsh. 3,204 na Mtwara Tsh. 3,231 kwa Lita moja ya Mafuta.
Dizeli Dar es Salaam itauzwa kwa Tsh. 3,226...
Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk.
Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana.
Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe 02 Disemba, 2023.
https://www.youtube.com/live/QhCQ0BcQr6Y?si=YVfDvsdluuMGYwOv
Rais wa Jamhuri ya...
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa;
1...
Mhe. Waziri wa Nishati ulituaminisha kuwa katika muda wa wiki mbili kutakuwa na afadhali kidogo kuhusu upatikanaji wa umeme.
Pili ulitueleza kuwa kutokana na ukame ndiyo maana upatikanaji wa umeme umekuwa ni shida LAKINI mvua zimeanza kunyesha kwa wingi sana na mito na mabwawa yamejaa maji...
Hadi kufikia Mwezi April mwaka 2024 Watanzania hawatakuwa na tatizo la mgao wa umeme kufuatia kukamilika kwa vituo vya kuzalisha umeme sambamba na kuanza kwa uzalishaji wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere.
Kauli hiyo imetolewa na David Mathayo mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati...
Tuliaminishwa kuwa ukosefu wa umeme unatokana na ukame wa muda mrefu hivyo mgao wa umeme utaendelea kuwepo.
Wiki chache zilizopita mvua zimeanza kunyesha mito, mabwawa yamejaa maji lakini cha kushangaza bado tatizo liko palepale.
Tumemchagua Mhe. Biteko (mchapa kazi) kusimamia Wizara ya...
Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea...
EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI -DKT. BITEKO
✔️ Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta
✔️ Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka...
MBUNGE wa Jimbo la Lupa Chunya Mhe. Masache Kasaka amesema kuridhia kwa azimio la Tanzania kuhusu mkataba wa wakala wa kimataifa wa Nishati Jadidifu IRENA utaleta manufaa kwa nchi huku akibainisha kwamba nchi nyingine jirani zikiwemo Kenya Uganda Rwanda na nchi za SADEC zilizoweza...
Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini.
Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi...
TUNAONGEZA AU KUFUNGA MFUMO WA GAS AU MAFUTA YA TAA KWENYE MASHINE ZA KUTOTORESHEA AMBAZO ZINATUMIA UMEME KAMA MFUMO MKUU AU "BACK-UP"
Kwa mahitaji ya kubadilishiwa au kuongezewa mfumo wa kutumia gas katika Incubator yako wasiliana nasi,gharama inategemeana na ukubwa wa. mashine
Pia tunaunda...
Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati huna muda mrefu tangu uteuliwe na Mhe. Rais kuwa Waziri wa Nishati. Tunaona mambo mazuri yanakuja mbeleni. Niko hapa Mwanza tulikuwa tunakatiwa umeme tangu saa moja asubuhi mpaka saa moja jioni au tangu saa moja jioni mpaka saa nane usiku lakini leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.