UTANGULIZI
Chakra ni vituo vya nishati katika mwili wa mwanadamu. Vituo hivi vinaaminika kuunganishwa na ustawi wa kimwili, kiroho, na kihisia! Kulingana na Patanjali, baba wa sayansi za kiyoga, katika kitabu chake kiitwacho "The Yoga Sutras", kuna jumla ya chakra 114. Lakini katika somo letu...