nitasema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'

    Wakuu, Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe! Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku...
  2. Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’

    Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio Namshauri aongozane na Mwanasheria wake. ======= Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kufika kwenye kikao ili kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’ kilichopangwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…