GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

Budo apewe muda, kibu ni Engine ya timu lazima abaki, Ahua MVP huyu lazma abaki kwa maslahi mapana ya msimu ujao.

Mavambo ni muhimu kubaki, anajua mpaka anakera.

Defenders ni balaa pale Che Malone, kule karabue, hapa Mzee Kapombe na Tshabalala .
 
Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
Na ukiulizwa utachangia asilimia ngapi ya gharama za malipo ya kuvunja mikataba ya wachezaji watakaotoswa utasema ngapi?
 
Wazawa
Kibu D
Kagoma
Shabalala

Wageni
Mpanzu
Haua

Kimsingi team nzima anayegusa mpira unafeel Kuna KITU kizuri kitatokea ni Mpanzu peke yake.

Mwisho kocha na yeye Kuna KITU kinamiss, jamaa wako sloo, mbele hawajachangamka na hakuna connection kati yao KWA wao. Hii kazi kocha kafeli. Atafutwe mtaalam zaidi. Pia ukiacha Mpanzu wengine wote hawana skills binafsi.
 
Nikiona genta amekasirika,tena kwa simba yake,basi moyo wangu mweupeeee
 
Back
Top Bottom