njaa

  1. D

    Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

    Njaa inaweza kumfanya mtu afanye jambo la ajabu sana! Tena usiombe upatwe na njaa ikiwa unga umeisha, mafuta yameisha, gesi imeisha, luku imekata n.k Hakika kuna uchizi huwa unaingia ghafla hata usijue cha kufanya. Njaa huifanya akili ifanye kazi kwa speed kubwa halafu isipate majibu sahihi...
  2. Analogia Malenga

    Umoja wa Mataifa waonya juu ya kitisho cha njaa Myanmar

    Umoja wa Mataifa unasema mamilioni ya watu nchini Myanmar wanakabiliwa na njaa katika wakati ambapo taifa hilo linapambana na mkwamo wa kisiasa na kiuchumi kutokana na hatua ya jeshi kuchukuwa madaraka kwa nguvu. Kwa mujibu wa uchambuzi uliotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)...
  3. Analogia Malenga

    Wakenya Milioni 1.4 wakabiliwa na njaa

    Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limesema zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. Zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. Shirika la msalaba mwekundu nchini humo limesema maeneo yaliyo...
  4. JOYOPAPASI

    Watanzania lazima bwawa la Rufiji likamilike, Wanasiasa njaa pembeni

    Vita ya mradi wa Rufiji sio ya kwanza Afrika. HUENDA wengi hawajui visa vya mabwawa ya kufua umeme na historia ya Afrika. Nimeona bora niwaelimishe. Mabwawa haya yana kitu kinaitwa 'geo-politics' toka zamani na yapo mabwawa ambayo yamewahi kuhujumiwa ili yasijengwe. Miongoni mwa mabwawa hayo...
Back
Top Bottom