Njaa inaweza kumfanya mtu afanye jambo la ajabu sana!
Tena usiombe upatwe na njaa ikiwa unga umeisha, mafuta yameisha, gesi imeisha, luku imekata n.k Hakika kuna uchizi huwa unaingia ghafla hata usijue cha kufanya.
Njaa huifanya akili ifanye kazi kwa speed kubwa halafu isipate majibu sahihi...