Habari za wikiendi pevu wadau wa JF,
Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza
bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali.
Ni kweli kuagiza kutoka nje ni nafuu kuliko kununua hapa nchini, lakini ni lazima kuwa mwangalifu kuepuka kupata hasara na...
Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
Wakuu habarini za leo?
Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa nchi zingine barani Africa au nje ya Africa.
Kwanza kutoka nje ya Tanzania kwenda ku-make life...
Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.
Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.
Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???
Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Dodoma, Juni 17, 2021
A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI
Ndugu waandishi wa Habari,
Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
Wadau naomba kujua kama kuna taratibu zozote za kufanya ili kuweza kufanya biashara ya mazao lwa kuuza nje ya nchi hususani hotcultural
=======
Mchango wa mdau
Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa
Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma,
Jf kuna wa somi wengi na...
Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini...
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali.
Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa...
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha.
Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa.
Wote mnakaribishwa.
Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini hakukuwa na propaganda tena kwa sababu walikuwa chama kimoja. Hata tulipoingia vyama vingi bado watu...
Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani
Wote Mnakaribishwa .
Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
Kwanza niwasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania.
Bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye mada, Rais wetu mama samia Kama unavyojua mwaka mmoja baada ya hayati JPM kuingia madarakani 2016, kwa kushirikiana na wizara ya maliasili na utalii chini ya jumanne maghembe alipiga marufuku ya...
Ndugu wana JF,
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.
Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.