Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...