Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
Utangulizi
Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa.
Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
changamoto
himo
kilio
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
kukosekana
mali
mkuu
moshi
njianjia panda
raia
uchaguzi
uchaguzi mkuu
usalama
usalama wa raia
wananchi
wilaya
zao
Nimewahi kuwa muumini wa dini fulani kubwa ulimwenguni. Nilisoma kidogo basic ya dini ile.
Ile dini lengo lao ni moja tu, nalo ni kupata pepo ya Mwenyezi Mungu. Baadaye nikapata Neema ya kuwa Mkristo.
Ukristo yaani kuwa mfuasi wa Yesu ni jambo kubwa, la neema isiyo na kifani.
Ila nasikitika...
Wakuu habari .
Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako.
Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia.
Je ipo siri gani hapo nyuma ?
Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra.
Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe...
Hapa Simba angekwanguliwa points 15.
Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?
Tufwate njia ya msalaba
Tuifwate mpaka Kalvario
Tusimamepo bila haya
Msalaba, Msalaba, huponya roho
Sala mbele ya altare
Ee Mkombozi wangu, nimekuja leo kufuata njia ile uliyoshika siku ya kufa sadaka yetu. Nimetubu dhambi zangu zote; ninataka kugeuza mwendo wangu; ninaomba kwako niwapatie roho...
1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi )
2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF)
Kwanini ninunua cpu wakati ningeweza kununua waya wa usb wa hard disk ?
Hard disk iliyounganishwa ndani kwa cable zake maalum za...
Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara
Ili kumkwamua kijana wa Kitanzania kiuchumi na kibiashara, kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kuchukuliwa. Kila njia ina mifano yake maalum ambayo inadhihirisha umuhimu na ufanisi wake. Hapa chini ni njia kumi pamoja na mifano ya...
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
Inasikitisha sana kusikia kesi za watu wanaojiua, ama kwa kunywa sumu, kwa kujinyonga, kwa kujipiga risasi au kwa kujitupa chini kutoka ghorofani. Wanaofanya hivyo huwa wanafikiri kwamba wakijiua ndio watapumzika tabu zao. Wanafikiri kujiua ndio mwisho wa kero walizo nazo. Wanadhani wakijiua...
Fupisho la Kafia getto-Ni machozi,yaliyosheheni pumziko Zito lililofungwa katika kurudishwa nyuma kwa masiku,309 miaka coran At- Tawubat 40 katika ukomo kwa ishara ya giza Zito zaidi la usiku kuliko masiku ya nyuma na mchana wenye mawingu yanayometameta kwa ukaribu kuweza kujibu na kuweka wazi...
Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho??
Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
Badala ya kuotesha majani halafu tuzuie mbuzi wasile ni bora tusioteshe majani ili hao mbuzi wasipate pakula
Badala ya kuweka mianya ya rushwa kupitia katiba halafu tuzuie viongozi wasile rushwa ni bora tukaziba mianya ili hao viongozi wasipate pakulia hiyo rushwa
Badala ya kuingiza mitumba...
Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za kiinimacho kama vile miradi ya ghafla, misaada ya muda, na ahadi zisizo na utekelezaji wa kweli ili kuwavuta...
Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu unacho kihitaji kwa mapana yake na kufanya kwa vitendo kwasababu maisha yana upepo kila pande,upepo...
Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya hivi kwa kutumia mifumo rasmi ya serikali, udhaifu wa sheria, na mbinu za ujanja wa kiutawala. Hapa...
Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.