Tufwate njia ya msalaba
Tuifwate mpaka Kalvario
Tusimamepo bila haya
Msalaba, Msalaba, huponya roho
Sala mbele ya altare
Ee Mkombozi wangu, nimekuja leo kufuata njia ile uliyoshika siku ya kufa sadaka yetu. Nimetubu dhambi zangu zote; ninataka kugeuza mwendo wangu; ninaomba kwako niwapatie roho...